Dunia ina mengi 😅Kwa CDF Gen. Muhoozi zitafika kutokana na uwezekano mkubwa wa kukutana nae mara kwa mara kwa Jukumu ninalolifanya huku ila kwa Natasha nisikudanganye Ratiba zake na zangu za Kiutendaji kutukutanisha ni nadra kwa sasa labda tu ikitokea hafla Ikulu za Entebbe na Nakasero au Kijijini Kwao Rwakitura hapo naweza Kukutana nae.
Umekua muungwana kwa kiwango cha lami, Mungu akupe faraja baada ya mechi ya leo.Mimi ninachojua tu ni kwamba leo ndiyo tunaenda Kuachwa rasmi kwa Alama Nne (4) na Wao kuwa Mabingwa tena.
Hasa ukiwa na Wivu, Roho Mbaya na Kukariri kuwa hapa duniani anayepaswa Kubarikiwa Maishani ni Wewe tu peke yako.Dunia ina mengi 😅
Habari ya BundaHasa ukiwa na Wivu, Roho Mbaya na Kukariri kuwa hapa duniani anayepaswa Kubarikiwa Maishani ni Wewe tu peke yako.
Najua kuwa wana Simba SC wengi hapa JamiiForums watanichukia kwa huu Uzi na ikitokea Simba SC ikabahatisha Kushinda leo najua watakuja kwa wingi hapa Kunizodoa ila niseme tu ukweli hata Simba SC ikitokea leo ikashinda itakuwa ni bahati ila Kiufundi na kama ukiwa ni Mtu wa Mpira utakubaliana nami kuwa Yanga SC wametuacha mbali mno Simba SC.Umekua muungwana kwa kiwango cha lami, Mungu akupe faraja baada ya mechi ya leo.
Kisa kaiponda Simba?Popoma wewe ni mbinguni straight
Ndugu zangu wapendwa walioko huko hawajambo.Habari ya Bunda
Ningeisema Yanga SC yake angekuja kama kawaida Kunitukana na bahati nzuri ni Ushahidi wa Screenshots zake nyingi.
Karibu Uganda lakini kwa hiyo Siku Mkuu nasikitika hatutoweza Kuonana kwani nitakuwa Kikosini (Jeshini) ambako naiheshimisha Tanzania (japo Wapuuzi wengi hawajui), ila kama utakuwepo hadi Weekend ijayo basi tunaweza kukutana Golf Club Kololo mita chache kutoka Hoteli ya FAIRWAY ili tusabahiane.Jamaa yangu popoma nakukubali sana mwamba jtatu nitakuwa hapo uganda nitakuchek tupate mbil tatu
Na mashabiki wa hizi timu, unatujua tabia zetu kama nini!Ningeisema Yanga SC yake angekuja kama kawaida Kunitukana na bahati nzuri ni Ushahidi wa Screenshots zake nyingi.
Hakika Mkuu.Na mashabiki wa hizi timu, unatujua tabia zetu kama nini!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hovyoooooo.......!!Ondoa was was GENTAMYCINE mvua ishanyesha..
Kwan uchawi wetu si mvua ,au tulishabadili mganga??Hovyoooooo.......!!
Mbona huna misimamo,Ushasema simba leo anapigwa baki humo humo.Najua kuwa wana Simba SC wengi hapa JamiiForums watanichukia kwa huu Uzi na ikitokea Simba SC ikabahatisha Kushinda leo najua watakuja kwa wingi hapa Kunizodoa ila niseme tu ukweli hata Simba SC ikitokea leo ikashinda itakuwa ni bahati ila Kiufundi na kama ukiwa ni Mtu wa Mpira utakubaliana nami kuwa Yanga SC wametuacha mbali mno Simba SC.
Ushindi pekee ambao labda leo naweza Kuuona kwa Simba SC leo ni Sare ya Magoli au Sare ya Suluhu (bila Magoli)
Mnyama anakatikaMm ni mshabiki wa Yanga ila Leo mnyama anatakata
Labda sare ya magoli, kusema Yanga inaweza cheza dakika 90 bila kufunga goli sio rahisi.Najua kuwa wana Simba SC wengi hapa JamiiForums watanichukia kwa huu Uzi na ikitokea Simba SC ikabahatisha Kushinda leo najua watakuja kwa wingi hapa Kunizodoa ila niseme tu ukweli hata Simba SC ikitokea leo ikashinda itakuwa ni bahati ila Kiufundi na kama ukiwa ni Mtu wa Mpira utakubaliana nami kuwa Yanga SC wametuacha mbali mno Simba SC.
Ushindi pekee ambao labda leo naweza Kuuona kwa Simba SC leo ni Sare ya Magoli au Sare ya Suluhu (bila Magoli)