M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Aug 13, 2023 #1 Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?
Ulimbo JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 3,768 Reaction score 4,038 Aug 13, 2023 #2 Muuza Kangala said: Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?View attachment 2716185 Click to expand... Hapo wanatafuta laana tu
Muuza Kangala said: Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?View attachment 2716185 Click to expand... Hapo wanatafuta laana tu
Boss la DP World JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 2,318 Reaction score 8,464 Aug 13, 2023 #3 Kwanini mnanisimanga sana?
Amun Ra JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 4,713 Reaction score 7,218 Aug 13, 2023 #4 Huyo picha kwenye joh la mtumishi ni ya nani?
Lord denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 15,819 Reaction score 33,255 Aug 13, 2023 #5 Muuza Kangala said: Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?View attachment 2716185 Click to expand... Wameuzaje?
Muuza Kangala said: Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?View attachment 2716185 Click to expand... Wameuzaje?
Lethergo JF-Expert Member Joined Aug 7, 2023 Posts 6,534 Reaction score 11,421 Aug 13, 2023 #6 kipara20 said: Huyo picha kwenye joh la mtumishi ni ya nani? Click to expand... Mcheza filamu wa picha la 'Yesu' yaani muigizaji wa 'Movie' za Maisha ya 'Jesus'
kipara20 said: Huyo picha kwenye joh la mtumishi ni ya nani? Click to expand... Mcheza filamu wa picha la 'Yesu' yaani muigizaji wa 'Movie' za Maisha ya 'Jesus'
Lethergo JF-Expert Member Joined Aug 7, 2023 Posts 6,534 Reaction score 11,421 Aug 13, 2023 #7 Boss la DP World said: Kwanini mnanisimanga sana? Click to expand... Wewe ni nani?
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Aug 13, 2023 #8 Maombi yasiyotanguliwa na TOBA hugeuka LAANA, Betina aliwaambia wachawi wawaroge wanaopinga bandari kuuzwa, hajatubu, anaenda Kanisani pia aombewe, Anatafuta kupata na jambo baya Kwa ghafula!!
Maombi yasiyotanguliwa na TOBA hugeuka LAANA, Betina aliwaambia wachawi wawaroge wanaopinga bandari kuuzwa, hajatubu, anaenda Kanisani pia aombewe, Anatafuta kupata na jambo baya Kwa ghafula!!