Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

Mada kama hizi kuletwa na mwanaume hapa unaonesha jinsi gani hii nchi ina matatizo makubwa. Kwa wanaume wa aina hii kweli mzazi atajisifu ana mtoto wa kiume? Ee Mungu niepushie aibu hii katika uzao wangu

Hata kusoma mada kama hizi ni umbea wa kike. Sijui umefata nini hapa?
 
Huyu binti ni mtoto wa Afande Patrick Kimaro maarufu sana kwa jina LA SABA SITA kutoka na namba zake za kijeshi kuwa D 7676,baba take ni mnoko kweli kweli yangu akiwa mkufunzi wa kuruta pale CCP,Mara ya mwisho alikuwa Dar enzi za Kova akiwa Inspekta. Sasa kama kanakula good time kwa umalaya inashangaza kama kwa unoko na makeke ya baba yake ameshindwa kukadhibiti,huyo 76 baba yake ni noma hatari kwenye kupambana na majambazi,kikosi cha wale waliovamia Sitaki Shari alikiongoza yeye kuwakamata,ana roho ya kinoko na kibabe hatari
 
Hanaga kwake ye kila siku hotelini,,Tunda hua anajiuza na kuna jamaa hua akimuhitaji anampa chake anakula mzigo,,,

Mkuu kama unaweza hebu na mimi niunganishe nile japo hata mara moja tu, pesa zinatafutwa ili tuzitumie kwa watoto kama hawa.
 
Huyu binti ni mtoto wa Afande Patrick Kimaro maarufu sana kwa jina LA SABA SITA kutoka na namba zake za kijeshi kuwa D 7676,baba take ni mnoko kweli kweli yangu akiwa mkufunzi wa kuruta pale CCP,Mara ya mwisho alikuwa Dar enzi za Kova akiwa Inspekta. Sasa kama kanakula good time kwa umalaya inashangaza kama kwa unoko na makeke ya baba yake ameshindwa kukadhibiti,huyo 76 baba yake ni noma hatari kwenye kupambana na majambazi,kikosi cha wale waliovamia Sitaki Shari alikiongoza yeye kuwakamata,ana roho ya kinoko na kibabe hatari

ni huyu hapa kwa wasio mfahamu

PATRICK%2BKIMARO%2BSABA%2BSITA%2BNAGAWA%2BCHAI%2BKWA%2BWAETHIOPIA%2B103%2BKTK%2BMAHAKAMA%2BYA%2BHAKIMA%2BMKAZI%2BMORO%2BPIX%2BNO%2B4.JPG
 
Back ground yake tafadhali
Daah! Namkumbuka mara ya mwisho kumwona akiwa nadhani darasa la sita( alikua anasoma internationa schools moshi) but alikua anakuja arusha kwa bibi yake mzaa mama ambaye tupo jirani, juzi kati naambiwa tunda kawa maarufu ivi? Nikasema kweli kipindi kile nilichezea bahati na sitokuja kuipata tena maishani[emoji24] [emoji24]
 
angekuwa hatangazi ungejuaje kama anatumia kiasi hicho cha pesa? da! wapambe mna tabu sana.Sijui wanatutangazia matumizi yao ya pesa ili tufanyaje
 
Kwa hiyo anakula through computer au daily anafly mpaka Brunei kwenye five star kwa msosi tu.
 
Back
Top Bottom