Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

Yadaiwa kuna mtu ana CORONA(Covd 19) kalazwa Regency Hospital DSM... Hospitali yasema amebainika hana ugonjwa huo

Hiii serikali jamani jamani, hali hii ya mwendokasi tupige kelele hiii serikali sio kabisaaa, yani pamoja na uwezo woooote walionao Marekani wamefunga mipaka yao sisi yumejaaa na tamaaa ya hela tunaruhusu Ndege na watu kumiminikia huku, jamani pesa si tutazikusanya kupitia kisutu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hasira za kitu nyuma yake, shekhe tujifunze kutembea kwa kufuata mlio wa mapigo ya ngoma.
Yaani kitu bado ni tetesi ila ulivowaka utasema una ugomvi binafsi na watu.. Hivi kwa hizi pressure si ikibainika kweli upo kuna mtakao kufa kabla hata hamjaambukizwa ugonjwa wenyewe.. Nyie liombeni tu hili janga iko siku dua zenu zitasikika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungekuwa mchina au mtu wa jamii za Asia au Europe saivi ungekuwa hoi taabani
Corona haitushambulii sisi kuna ugumu inapata
unachokisema kina uhalisia fulani hivi juzi nimezunguka kkoo kama masaa 4 leo sijielewi kabisa kichwa kinauma mafua kwa mbali koo limekauka inshort ninajihisi sipo sawa nimechokachoka dalili za mafua naziona kabisa naomba yawe mafua ya kawaida tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Openness is what matters now! Hebu dadisi kidogo kama huyo muhindi alitoka nje ya nchi au amekutana na watu waliosafiri nje hasa kwenye nhci zilizoathirika sana!
 
Acheni kupeana taarifa za kutishana corona bongo haipo.
Kama mnaipenda muifate izo nchi ambazo ipo, yaan kuna watu nadhani wana hamu corona iingie tz izo habar uyu jamaa kapata kwenye story za udaku tu insta tena nae uyo kasema kaambiwa na mdaku mwenzie acheni kutishana uoga ndo ugonjwa mkubwa kuliko ata iyo corona sasa. Mnajiogopesha bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sio muda wa kusafiri safiri kwenda nchi za mbali hasa ulaya lakini bado watu ni viburi. Diamond na timu yake anafanya tour ya europe hivi sasa hii ni hatari hasa ukizingatia kushikana mikono na mashabiki wakati wa show. Huyu angepata ushauri a postpone hizo show zake kipindi hiki wasije kuchuma janga huko wakaja kula na wabongo huku. Huu ugonjwa ni nyoko unakimbia kama moto kwenye majani makavu
Ni hivi.. huu si muda wakuacha mipaka wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona itaisha haraka pindi joto litakapoanza Ulaya
Leo mke wa Justin wa Canada amepata Corona
Hakuna hofu kubwa kwa Africa ila tujitahadhari
Uchumi unaporomoka sana ila Africa nchi nyingi hazina habari bali kufuata upepo
Ndio mda wa kusitisha miradi kwa mda na kuhufadhi hela kwa lolote baya

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ni hivi.. huu si muda wakuacha mipaka wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli si muda wa kuacha mipaka wazi,ila na watanzania kusafiri safiri hovyo wapunguze kama hakuna ulazima sana kama safari ya matibabu.nchi nyingi corona imeingizwa na raia wa nchi husika waliokwenda kutalii nchi nyingine zenye maambukizi.Nchi nyingi za ulaya corona imeingizwa na raia wa nchi husika.nchi za ulaya zilibana zaidi kwa wachina huku raia wao wakiendelea kuzurula tu,matokeo yake umeingizwa na raia wao wenyewe.
 
Nashangaa watu wanavyolazimisha kuwa tayari Tz Kuna Corona, sijui watapata faida gani kwa uwepo wa hiyo Corona??

Hivi kwanini tumekuwa wajuaji Sana kiasi hiki?? Yaani hapa kwetu likija suala la ugonjwa Kama huu basi kila mtu ni doctor tena wa viwango vya juu, likija suala ujenzi kila mtu ni engineer tena mbobezi haswa.
Likija suala la kiusalama basi kila mtu ni jasusi hatari.
Ukigusa sheria ndio kabisaa wote humu wanakuwa na shahada zao.
Nakumbuka kipindi cha ununuzi wa ndege, daah!! Kulikuwa na wataalamu wa ndege humu hujawahi kuona.

Nakumbuka watu walivyokuwa wanalazimisha kuwepo kwa Ebora hapa daah palikuwa hapatoshi hapa jukwaani kila mtu alikuja na taaluma yake mpya ya udaktari akitoa uthibitisho wa uwepo wa Ebora, leo tena tumehamia kwenye Corona.

Jambo la kushangaza wengine wanasema Corona imetokana na laana ya JK aliyofanya 2015 kuwa katuletea janga. Alafu bila aibu anajiita GT.

Ujinga huu sijui utaisha lini, inashangaza sana.
Mwingine anadiliki kusema et mtakufa nyumba kwa nyumba kana kwamba yeye anamkataba na Mungu hatokufa.
 
ni kweli si muda wa kuacha mipaka wazi,ila na watanzania kusafiri safiri hovyo wapunguze kama hakuna ulazima sana kama safari ya matibabu.nchi nyingi corona imeingizwa na raia wa nchi husika waliokwenda kutalii nchi nyingine zenye maambukizi.Nchi nyingi za ulaya corona imeingizwa na raia wa nchi husika.nchi za ulaya zilibana zaidi kwa wachina huku raia wao wakiendelea kuzurula tu,matokeo yake umeingizwa na raia wao wenyewe.
Asubuhi hii Kenya imesharipoti kesi.. mtu kutoka usa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa watu wanavyolazimisha kuwa tayari Tz Kuna Corona, sijui watapata faida gani kwa uwepo wa hiyo Corona??

Hivi kwanini tumekuwa wajuaji Sana kiasi hiki?? Yaani hapa kwetu likija suala la ugonjwa Kama huu basi kila mtu ni doctor tena wa viwango vya juu, likija suala ujenzi kila mtu ni engineer tena mbobezi haswa.
Likija suala la kiusalama basi kila mtu ni jasusi hatari.
Ukigusa sheria ndio kabisaa wote humu wanakuwa na shahada zao.
Nakumbuka kipindi cha ununuzi wa ndege, daah!! Kulikuwa na wataalamu wa ndege humu hujawahi kuona.

Nakumbuka watu walivyokuwa wanalazimisha kuwepo kwa Ebora hapa daah palikuwa hapatoshi hapa jukwaani kila mtu alikuja na taaluma yake mpya ya udaktari akitoa uthibitisho wa uwepo wa Ebora, leo tena tumehamia kwenye Corona.

Jambo la kushangaza wengine wanasema Corona imetokana na laana ya JK aliyofanya 2015 kuwa katuletea janga. Alafu bila aibu anajiita GT.

Ujinga huu sijui utaisha lini, inashangaza sema.
Mwingine anadiliki kusema et mtakufa nyumba kwa nyumba kana kwamba yeye anamkataba na Mungu hatokufa.
Huwezi kuzuia spectators bana wee.. haya mambo yapo duniani kote sio hapa tu... kama ikitokea hivyo vyombo husika sasa ndio vichukue hatua kuprove wrong na sio kusema raia wajuaji..

Ni haki ya raia kuhamaki, na ni haki yao kutulizwa hamaki na vyombo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom