myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Aisee..Hii nchi ina kundi kubwa la watu masikini ila sio nchi masikini. Ndani ya hii nchi kuna watu wana uhakika wa usafiri, matibabu, mavazi, malazi, chakula, uwekezaji, usafiri na mambo yote ambayo masikini hawezi kuwa nayo wala kuyaota. Kuna mtu akikohoa tu ni airport chap hadi paris kwa chekup.