Yafichuka: Jinsi Tanzania ilivyotia saini mkataba kichaa na kampuni ya siri kuendesha uwanja mkuu wa watalii nchini (KIA)

Aisee..
 
Reactions: Tsh
Nchi hii kiboko aise,nmeivulia kofia

Ova
 
Ripoti ya CAG ishafunikwa, hii inchi daaaah....... ukiwaona wanavyoigiza mjengoni utazani wana uchungu na hili taifa.

Mwakani CAG anatoa ripoti nyingine inafunikwa yaaani............. daah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…