Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Dah pombe Mimi niko kupambana hapa na hangover ya Jana nmekunywa supu wapi saivi nmekata kachumbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kunywa double kick vile vichupa vitatuHaya mambo huwa yanaenda kiukoo kama kwenye ukoo hakuna historia ya mtu yeyote kunywa pombe au kuvuta bangi utakapotumia jiandae kudhalilika kwa sababu umetumia vitu ambavyo kwenye ukoo wenu havipo. Mimi ile Konyagi kubwa napiga nusu na bado natembea vizuri na siyumbi. Zile ambiance nagonga vichupa vitatu ndio kidoogo naweza kuzima wakati kuna wengine akinywa nusu tu anaanza kuongea pumba tu.
nini tena mkuuWe jamaa aisee!
Pole mkuuDah pombe Mimi niko kupambana hapa na hangover ya Jana nmekunywa supu wapi saivi nmekata kachumbali
Naona unaongea pumba umeshalewaHaya mambo huwa yanaenda kiukoo kama kwenye ukoo hakuna historia ya mtu yeyote kunywa pombe au kuvuta bangi utakapotumia jiandae kudhalilika kwa sababu umetumia vitu ambavyo kwenye ukoo wenu havipo. Mimi ile Konyagi kubwa napiga nusu na bado natembea vizuri na siyumbi. Zile ambiance nagonga vichupa vitatu ndio kidoogo naweza kuzima wakati kuna wengine akinywa nusu tu anaanza kuongea pumba tu.
Na hiyo kachumbari?nimechekaDah pombe Mimi niko kupambana hapa na hangover ya Jana nmekunywa supu wapi saivi nmekata kachumbali
Mwanangu shikiria Mungu huyo akunusuru nayo,mimi nimepambana nayo nimeshindwa mpk nakutaman bure kwa nini roho hiyo yako isije kwangu nikaachana na huyu shetwani,kila nikitaka kuacha naanza kupambana mwenyewe na kujijibu kma mwehu,mwisho wa maongezi yangu mwenyewe najijibu mwenyewe kuwa niendelee nitaacha kesho,mara kesho,keshokutwa........yaaaanJambo la kushukuru umetambua tatizo mapema.
Hakuna madhara utakayopata kwa kuchukua uamuzi wa kuachana na Pombe.
Ni wakati sasa Acha pombe