Yafuatayo ndiyo Mafanikio ya Miaka Miwili ya yatakayomhusu au Kujihisi tu

Yafuatayo ndiyo Mafanikio ya Miaka Miwili ya yatakayomhusu au Kujihisi tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Taabu / Shida Kuongezeka
2. Nidhamu ya Kiutendaji kushuka
3. Rushwa na Ushirikina Kushamiri
4. Upumbavu ( Upopoma ) wa Watu kuongezeka maradufu he
5. Unafiki kushamiri
6. Uhalifu kuota Mizizi
7. Kujipendekeza ( Uchawa ) na Ushoga Kuongezeka

Na wala huu Mchezo hauhitaji Hasira hata kidogo, tuvumiliane na imeisha hiyo.
 
Sawa yote hayo yawe ni negative side, hujaona chochote positive hadi Sasa?
Watanzania mnahitaji mtawaliwe na malaika? Magufuli sindio mlilia sana kuwa ni dikteta au mumeshasahau?
 
Deni la taifa ndani ya miaka miwili limeongezeka kuliko miaka 6 iliopita
 
Sawa yote hayo yawe ni negative side, hujaona chochote positive hadi Sasa?
Watanzania mnahitaji mtawaliwe na malaika? Magufuli sindio mlilia sana kuwa ni dikteta au mumeshasahau?
Hayo ya Positive yangekuwepo ningeyataja, ila mpaka sasa naona hakuna na Kupuyanga Kwingi kutoka kwa Mpuyangaji.
 
Back
Top Bottom