GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Maneno ya Pre-season haya.1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri
2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine...
Haya yangsemwa na kina Manara na SAYVILLE nisingeshangaa, lakini you!!1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri
2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine.
3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa.
4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo Wavuvi wa Kigamboni.
Halafu Waturuki wamefurahi kusikia Simba SC inaenda na kusema hakika tumeliheshimisha Taifa lao.
Poleni kwa Umafia mkubwa mliofanyiwa leo Uwanja wa Ndege wa JNIA na hapo bado mtatukoma.
Nendeni pre season hata mbinguni ila mkirudi tabu ipo pale pale...MAANDAZI NYIE1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri
2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine.
3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa.
4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo Wavuvi wa Kigamboni.
Halafu Waturuki wamefurahi kusikia Simba SC inaenda na kusema hakika tumeliheshimisha Taifa lao.
Poleni kwa Umafia mkubwa mliofanyiwa leo Uwanja wa Ndege wa JNIA na hapo bado mtatukoma.
Mazingira na mandhari ya South afrika utayafananisha na hapa bongo uko na akili kichwani au na vile tu wenye akili hapo utopoloni ni wawili tuMbona hatujasikia mamelod akienda Italy?, Timu za wenzetu zunakwenda pre-season maeneo ambayo ni mkakati wa biashara na kampuni wadhamini zimawataka kwenda kwaajili ya biashara zaidi. Upuuzi na ulimbukeni tu kwa timu yenye umaskini na ukata wakishindwa hata kusajili mchezaji wa 600m unakwenda kuweka kambi Uturuki ili ikusaidie nini?. Logic ndogo tu wangeenda hata south Afrika au Tunisia walikuwa na adavantge ya kuuza jezi lakini pia kujitangaza kibiashara kuliko Uturuki it's all about ufujaji wa pesa na upigaji uliogengenezwa. Kambi isiyozidi wiki 3 kitaalam ni upuuzi.
Muuza mihogo wa soko la kawe,uliyekatwa sikio na bwana cherehani kwenye ubora wako1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri
2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine.
3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa.
4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo Wavuvi wa Kigamboni.
Halafu Waturuki wamefurahi kusikia Simba SC inaenda na kusema hakika tumeliheshimisha Taifa lao.
Poleni kwa Umafia mkubwa mliofanyiwa leo Uwanja wa Ndege wa JNIA na hapo bado mtatukoma.
[emoji1787]1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri
2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine.
3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa.
4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo Wavuvi wa Kigamboni.
Halafu Waturuki wamefurahi kusikia Simba SC inaenda na kusema hakika tumeliheshimisha Taifa lao.
Poleni kwa Umafia mkubwa mliofanyiwa leo Uwanja wa Ndege wa JNIA na hapo bado mtatukoma.
April 16 walikuwa wapi kibu deeenga akimtoboa diarra?Pale Yanga Pana Yannick Bangala, Khalid Aucho, Mudathir Yahya, Salum Aboubakar bila kumsahau Zawad Mauya.
Simba pale Kati kuna Nani?
Mimba yake Umeitoa au Umemzalia?Ungeandika kwa herufi kubwa mkuu
Mliendaga sijui wapi mkarudi na hamkupata kombe lolote, hadi la ndondo. Wa AVIC TOWN wakatwaa makombe matatu na fainali ya CAF juu!!1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri