Yafuatayo ni majibu kwanini Simba SC inaenda Uturuki kwa Pre Season na haibaki Dar es Salaam kama Wengine?

Yafuatayo ni majibu kwanini Simba SC inaenda Uturuki kwa Pre Season na haibaki Dar es Salaam kama Wengine?

Mazingira na mandhari ya South afrika utayafananisha na hapa bongo uko na akili kichwani au na vile tu wenye akili hapo utopoloni ni wawili tu
We ndio tahira, wiki mbili onakusaidia nini huko uturuki? Au wameenda kufanyiwa utanuzi ww makalio?
 
1. Simba SC ina Hela na haitegemei Kuuza Jezi ndiyo isafiri

2. Timu inayoshiriki African Super League lazima iwe tofauti na Wengine.

3. Timu inayoshika namba 9 kwa Ubora Afrika lazima Maandalizi yake nayo yawe ni makubwa makubwa.

4. Wachezaji wa Simba SC wana Hadhi ya Uturuki na Ulaya na siyo Wavuvi wa Kigamboni.

Halafu Waturuki wamefurahi kusikia Simba SC inaenda na kusema hakika tumeliheshimisha Taifa lao.

Poleni kwa Umafia mkubwa mliofanyiwa leo Uwanja wa Ndege wa JNIA na hapo bado mtatukoma.
Sababu zote zilizotolewa na msemaji wa simba ni za kipuuzi na kitoto na kuwaona mashabiki , wapenzi na wanachama kama watu wanaohitaji kucheka ili kuondoa stresses za kufeli katika soka.
 
Kibu denga asiongezwe sana kali.o alilonalo linatosha labda boko
 
Back
Top Bottom