GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Aliyekuambia kuwa Uchawi hauko hata huko Ulaya mnakokushobokea nani?Huu ni upumbavuuuuuu...
Uwekezaji ni muhimu zaidi na ndio wa kupewa kipao mbele.
Brazil na Argentina ni South America, SAUT hawajakosea kuwavuwa degree zao.Aliyekuambia kuwa Uchawi hauko hata huko Ulaya mnakokushobokea nani?
Hivi mnajua kuwa Wabrazili ( Brazil ) na Waajentina ( Argentina ) licha ya kuwa na Vipaji vikubwa vya Kucheza Soka ila Timu zao za Taifa huwa Wanaroga mno huku Wakiamini mambo fulani kama ya kuwapa Nyota na Bahati?
Fuatilia Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Argentina katika Mechi yao ya Fainali dhidi ya Ufaransa walivalia nini katika Miguu yao ya Kushoto tu.
Huna Akili.
Endelea tu Kushoboka nami Nikuroge kweli sawa? Uchawi siununui bali ninao Mwenyewe Kwangu.Umepitwa sana na wakati acha kuamini katika Uchawi.
Nikiwa nakuita Kubwa Jinga na Taahira la JamiiForums usiwe unakataa sawa?Brazil na Argentina ni South America, SAUT hawajakosea kuwavuwa degree zao.
Sasa kama haumo Unawashwawashwa na nini hasa ukiwa ni Mtoto wa Kiume?Kazi imeanza mimi simo
acha ujinga farid mussa ni msika dini hashiki huo upuuzi1. Wachezaji wote wa Simba SC wapokonywe Simu zao.
2. Timu iweke Kambi sehemu ya Siri mno na Waandishi wa Habari wasiruhusiwe kufika.
3. Wachezaji wote wa Simba SC, Benchi la Ufundi na wale Makomandoo (watu wa maandalizi na kamati za kimkakati) walishwe Yamini ya Kiapo na Uaminifu.
4. Aliyekuwa Kocha wetu Msaidizi Seleman Matola, Wachezaji Aishi Manula, Jonas Mkude, Henock Inonga pamoja na Meneja Rweymamu bila kumsahau na Mkuu wa Itifaki, mzee wa suti 24/7 Makoye watizamwe kwa jicho la umakini/kiungalifu mno.
5. Watumike hasa wataalam (mafundi) wa Zanzibar na yule mtu wetu muhimu mwenye mamlaka makubwa ya kiimani na kimaamuzi katika dini/imani fulani nchini (ambaye pia ni mwana Simba SC lia lia na ndiyo alitusaidia kumfunga Horoya FC zile Goli 7) waicheze hii mechi na tusimtumie yule mtu wetu wa Morogoro na Rukwa kwani ni wepesi kushawishika kama matapeli na wafujaji wa pesa za Tanzania Kampuni ya MSG wakiwafuata kuwapa pesa ili watoe siri za Simba SC.
6. Kikosi cha Simba SC kitakachoanza (First Eleven) kisitajwe (kisiwekwe) mtandaoni haraka isipokuwa dakika 15 kabla ya mechi kuanza.
7. Mzigo wa Timu (watu wa mpira na fitna mtakuwa mmeshanielewa) asipewe Mchezaji wa Kigeni na Mkristo bali apewe yule yule Mzawa na Muislamu, ila ajitahidi mno Siku ya Mechi amkwepe sana Bakari Mwanyeto au Farid Musa au Mudathir Yahaya ambao ndiyo huwa Wabeba Mikoba Wao Wakuu.
Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE leo tarehe 11 April, 2023 hapa hapa JamiiForums nasema kuwa kwa 100% Yanga SC anaenda Kufungwa na Simba SC tarehe 16 April, 2023 na naziona Goli 3 au 4 kama Wakijaa katika Mfumo wetu japo najua Goli 2 kwa 0 ziko na Wakibahatika basi na Wao wataambulia Goli 1 tu ila all in all Safari hii Yanga SC inaenda Kufungwa na Simba SC na naomba huu Uzi wangu Utunzwe na tukutane hapa Jumapili Usiku baada ya Mechi au Jumatatu ijayo.
Kila la Kheri sana Simba Sports Club.
Pumbavu nina PhD ya Soka la Tanzania na 95% ya Wachezaji Waandamizi wa Simba SC na Yanga SC ni Wana ( Rafiki ) zangu Wakubwa na hunipa Taarifa za Ndani kabisa na Ngumu bila ya hata Wao kujua kuwa Mimi ndiyo GENTAMYCINE wa hapa JamiiForums.acha ujinga farid mussa ni msika dini hashiki huo upuuzi
Naona mimba ya chama inakusumbua sikuoni tena ukimtaja bwanako humu? Tafuta mume uoleweSasa kama haumo Unawashwawashwa na nini hasa ukiwa ni Mtoto wa Kiume?
au nawe pia ni mwana Upinde kwa hapa Tanzania na JamiiForums ili tujue na tukutafutie Wateja?
Basha wako ameshakuacha?Naona mimba ya chama inakusumbua sikuoni tena ukimtaja bwanako humu? Tafuta mume uolewe
Tafuta mume akukande nyege ziishe uache kuparamia watuBasha wako ameshakuacha?
Pole kwa Kuachika ndiyo Maisha hayo.Tafuta mume akukande nyege ziishe uache kuparamia watu
SIMBA GUVU MOYA 🦁🦁1. Wachezaji wote wa Simba SC wapokonywe Simu zao.
2. Timu iweke Kambi sehemu ya Siri mno na Waandishi wa Habari wasiruhusiwe kufika.
3. Wachezaji wote wa Simba SC, Benchi la Ufundi na wale Makomandoo (watu wa maandalizi na kamati za kimkakati) walishwe Yamini ya Kiapo na Uaminifu.
4. Aliyekuwa Kocha wetu Msaidizi Seleman Matola, Wachezaji Aishi Manula, Jonas Mkude, Henock Inonga pamoja na Meneja Rweymamu bila kumsahau na Mkuu wa Itifaki, mzee wa suti 24/7 Makoye watizamwe kwa jicho la umakini/kiungalifu mno.
5. Watumike hasa wataalam (mafundi) wa Zanzibar na yule mtu wetu muhimu mwenye mamlaka makubwa ya kiimani na kimaamuzi katika dini/imani fulani nchini (ambaye pia ni mwana Simba SC lia lia na ndiyo alitusaidia kumfunga Horoya FC zile Goli 7) waicheze hii mechi na tusimtumie yule mtu wetu wa Morogoro na Rukwa kwani ni wepesi kushawishika kama matapeli na wafujaji wa pesa za Tanzania Kampuni ya MSG wakiwafuata kuwapa pesa ili watoe siri za Simba SC.
6. Kikosi cha Simba SC kitakachoanza (First Eleven) kisitajwe (kisiwekwe) mtandaoni haraka isipokuwa dakika 15 kabla ya mechi kuanza.
7. Mzigo wa Timu (watu wa mpira na fitna mtakuwa mmeshanielewa) asipewe Mchezaji wa Kigeni na Mkristo bali apewe yule yule Mzawa na Muislamu, ila ajitahidi mno Siku ya Mechi amkwepe sana Bakari Mwanyeto au Farid Musa au Mudathir Yahaya ambao ndiyo huwa Wabeba Mikoba Wao Wakuu.
Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE leo tarehe 11 April, 2023 hapa hapa JamiiForums nasema kuwa kwa 100% Yanga SC anaenda Kufungwa na Simba SC tarehe 16 April, 2023 na naziona Goli 3 au 4 kama Wakijaa katika Mfumo wetu japo najua Goli 2 kwa 0 ziko na Wakibahatika basi na Wao wataambulia Goli 1 tu ila all in all Safari hii Yanga SC inaenda Kufungwa na Simba SC na naomba huu Uzi wangu Utunzwe na tukutane hapa Jumapili Usiku baada ya Mechi au Jumatatu ijayo.
Kila la Kheri sana Simba Sports Club.
Wajinga mpo wengi sana, yani wewe unaamini huyu Jobless wa JF ana influence yoyote Simba? Kadi tu hana.Kaka GENTAMYCINE tunawategemea sana kuwakumbusha viongozi wawe makini na baadhi ya mamluki na wahujumu timu kila tunapoelekea hii mechi muhimu haswa hao wachezaji uliowataja hapo na haswa huyo mkongo ni wazi alituumiza sana kwenye game ya Ngao ya Hisani
Haiwezekani kushindwa kuifunga timu isiyo na ubora wowote wa kutisha zaidi ya kutegemea uchawi na kuzunguka mlango wa nyuma
Popoma katika ubora wako. Fanyeni yote na hata kuchoma matunguri uwanjani, kama kule South, kama ni kufa mtakufa tu, kipigo kiko pale pale.1. Wachezaji wote wa Simba SC wapokonywe Simu zao.
2. Timu iweke Kambi sehemu ya Siri mno na Waandishi wa Habari wasiruhusiwe kufika.
3. Wachezaji wote wa Simba SC, Benchi la Ufundi na wale Makomandoo (watu wa maandalizi na kamati za kimkakati) walishwe Yamini ya Kiapo na Uaminifu.
4. Aliyekuwa Kocha wetu Msaidizi Seleman Matola, Wachezaji Aishi Manula, Jonas Mkude, Henock Inonga pamoja na Meneja Rweymamu bila kumsahau na Mkuu wa Itifaki, mzee wa suti 24/7 Makoye watizamwe kwa jicho la umakini/kiungalifu mno.
5. Watumike hasa wataalam (mafundi) wa Zanzibar na yule mtu wetu muhimu mwenye mamlaka makubwa ya kiimani na kimaamuzi katika dini/imani fulani nchini (ambaye pia ni mwana Simba SC lia lia na ndiyo alitusaidia kumfunga Horoya FC zile Goli 7) waicheze hii mechi na tusimtumie yule mtu wetu wa Morogoro na Rukwa kwani ni wepesi kushawishika kama matapeli na wafujaji wa pesa za Tanzania Kampuni ya MSG wakiwafuata kuwapa pesa ili watoe siri za Simba SC.
6. Kikosi cha Simba SC kitakachoanza (First Eleven) kisitajwe (kisiwekwe) mtandaoni haraka isipokuwa dakika 15 kabla ya mechi kuanza.
7. Mzigo wa Timu (watu wa mpira na fitna mtakuwa mmeshanielewa) asipewe Mchezaji wa Kigeni na Mkristo bali apewe yule yule Mzawa na Muislamu, ila ajitahidi mno Siku ya Mechi amkwepe sana Bakari Mwanyeto au Farid Musa au Mudathir Yahaya ambao ndiyo huwa Wabeba Mikoba Wao Wakuu.
Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE leo tarehe 11 April, 2023 hapa hapa JamiiForums nasema kuwa kwa 100% Yanga SC anaenda Kufungwa na Simba SC tarehe 16 April, 2023 na naziona Goli 3 au 4 kama Wakijaa katika Mfumo wetu japo najua Goli 2 kwa 0 ziko na Wakibahatika basi na Wao wataambulia Goli 1 tu ila all in all Safari hii Yanga SC inaenda Kufungwa na Simba SC na naomba huu Uzi wangu Utunzwe na tukutane hapa Jumapili Usiku baada ya Mechi au Jumatatu ijayo.
Kila la Kheri sana Simba Sports Club.
Hawatubabaishi.Tuliopo magroup ya yanga kule wanachangishana pesa kila derby kuloga baadhi ya wachezaji wetu muhimu, na mchezo wao unaendelea nnavyokwambia kwa sasa wanashugulila na beleke, chama, kanoute na manula, na simba wanalijua hili ila mpo kimya mnafungwa kindezi ndezi kila mwaka, akiroga rogaaa
Na Bagamoyo yake.Kama mnaamini uchawi unacheza Mimi nitawachangia pesa pia pia tuone uchawi unavyoifunga Widas Casablanca.
Ni ujinga wa hali ya juu karne ya 21 kuwaza ushirikina, mbona Sumbawanga hawana timu? Handeni hakuna timu? Ngende hakuna timu?