Yafuatayo yafanyike Simba SC kuelekea 'Derby' yetu na Wao Jumapili tarehe 16 April, 2023

1. Wachezaji wote wa Simba SC wapokonywe Simu zao.

2. Timu iweke Kambi sehemu ya Siri mno na Waandishi wa Habari wasiruhusiwe kufika.

3. Wachezaji wote wa Simba SC, Benchi la Ufundi na wale Makomandoo (watu wa maandalizi na kamati za kimkakati) walishwe Yamini ya Kiapo na Uaminifu.

4. Aliyekuwa Kocha wetu Msaidizi Seleman Matola, Wachezaji Aishi Manula, Jonas Mkude, Henock Inonga pamoja na Meneja Rweymamu bila kumsahau na Mkuu wa Itifaki, mzee wa suti 24/7 Makoye watizamwe kwa jicho la umakini/kiungalifu mno.

5. Watumike hasa wataalam (mafundi) wa Zanzibar na yule mtu wetu muhimu mwenye mamlaka makubwa ya kiimani na kimaamuzi katika dini/imani fulani nchini (ambaye pia ni mwana Simba SC lia lia na ndiyo alitusaidia kumfunga Horoya FC zile Goli 7) waicheze hii mechi na tusimtumie yule mtu wetu wa Morogoro na Rukwa kwani ni wepesi kushawishika kama matapeli na wafujaji wa pesa za Tanzania Kampuni ya MSG wakiwafuata kuwapa pesa ili watoe siri za Simba SC.

6. Kikosi cha Simba SC kitakachoanza (First Eleven) kisitajwe (kisiwekwe) mtandaoni haraka isipokuwa dakika 15 kabla ya mechi kuanza.

7. Mzigo wa Timu (watu wa mpira na fitna mtakuwa mmeshanielewa) asipewe Mchezaji wa Kigeni na Mkristo bali apewe yule yule Mzawa na Muislamu, ila ajitahidi mno Siku ya Mechi amkwepe sana Bakari Mwanyeto au Farid Musa au Mudathir Yahaya ambao ndiyo huwa Wabeba Mikoba Wao Wakuu.

Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE leo tarehe 11 April, 2023 hapa hapa JamiiForums nasema kuwa kwa 100% Yanga SC anaenda Kufungwa na Simba SC tarehe 16 April, 2023 na naziona Goli 3 au 4 kama Wakijaa katika Mfumo wetu japo najua Goli 2 kwa 0 ziko na Wakibahatika basi na Wao wataambulia Goli 1 tu ila all in all Safari hii Yanga SC inaenda Kufungwa na Simba SC na naomba huu Uzi wangu Utunzwe na tukutane hapa Jumapili Usiku baada ya Mechi au Jumatatu ijayo.

Kila la Kheri sana Simba Sports Club.
Mawazo ya ushirikina hayana nafasi kwenye soka la kisasa! makala kama hizi ziletazo shinikizo kwa wachezaji na makocha zisipewe kabisa nafasi!! pili usiingizwe udini kwenye mpira.
 
Mkuu kwani tatzo lipo wapi kumwambia mwanasimba mwenzetu awafikishie viongozi mawazo yetu na tunajua anayo nafasi ya kuwafikia maana viongozi nao ni watu tu na tupo nao kwenye jamii na kikubwa mkuu GENTAMYCINE anakutana na wachezaji wengi wa hizi timu kubwa haswa kwenye vijiwe vyao hivyo anachosema anakielewa
Alikutana nao wapi.
 
Sasa huo ni Mpira au mashimdano ya uchawi ulozi uganga au ushirikina?? Yaan ni njunju na ndumba hamna mpira
 
Acheni ball litembee
tumjue m’babe haya mambo ulozi achanen nayo
 
1. Wachezaji wote wa Simba SC wapokonywe Simu zao.

2. Timu iweke Kambi sehemu ya Siri mno na Waandishi wa Habari wasiruhusiwe kufika.

3. Wachezaji wote wa Simba SC, Benchi la Ufundi na wale Makomandoo (watu wa maandalizi na kamati za kimkakati) walishwe Yamini ya Kiapo na Uaminifu.

4. Aliyekuwa Kocha wetu Msaidizi Seleman Matola, Wachezaji Aishi Manula, Jonas Mkude, Henock Inonga pamoja na Meneja Rweymamu bila kumsahau na Mkuu wa Itifaki, mzee wa suti 24/7 Makoye watizamwe kwa jicho la umakini/kiungalifu mno.

5. Watumike hasa wataalam (mafundi) wa Zanzibar na yule mtu wetu muhimu mwenye mamlaka makubwa ya kiimani na kimaamuzi katika dini/imani fulani nchini (ambaye pia ni mwana Simba SC lia lia na ndiyo alitusaidia kumfunga Horoya FC zile Goli 7) waicheze hii mechi na tusimtumie yule mtu wetu wa Morogoro na Rukwa kwani ni wepesi kushawishika kama matapeli na wafujaji wa pesa za Tanzania Kampuni ya MSG wakiwafuata kuwapa pesa ili watoe siri za Simba SC.

6. Kikosi cha Simba SC kitakachoanza (First Eleven) kisitajwe (kisiwekwe) mtandaoni haraka isipokuwa dakika 15 kabla ya mechi kuanza.

7. Mzigo wa Timu (watu wa mpira na fitna mtakuwa mmeshanielewa) asipewe Mchezaji wa Kigeni na Mkristo bali apewe yule yule Mzawa na Muislamu, ila ajitahidi mno Siku ya Mechi amkwepe sana Bakari Mwanyeto au Farid Musa au Mudathir Yahaya ambao ndiyo huwa Wabeba Mikoba Wao Wakuu.

Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE leo tarehe 11 April, 2023 hapa hapa JamiiForums nasema kuwa kwa 100% Yanga SC anaenda Kufungwa na Simba SC tarehe 16 April, 2023 na naziona Goli 3 au 4 kama Wakijaa katika Mfumo wetu japo najua Goli 2 kwa 0 ziko na Wakibahatika basi na Wao wataambulia Goli 1 tu ila all in all Safari hii Yanga SC inaenda Kufungwa na Simba SC na naomba huu Uzi wangu Utunzwe na tukutane hapa Jumapili Usiku baada ya Mechi au Jumatatu ijayo.

Kila la Kheri sana Simba Sports Club.
Maujinga yako tupa kureeee!
 
Umeanza kujambajamba mapema, badala ya kuandaa timu kiasayansi unawaza uchawi karne hii?

Kwa akili hizi Wydad Casablanca anakwenda kuwadhalisha hata goli 19 on aggregate.
Ukute huyo n mshabiki wa yanga hana lolote analeta uchafu tu
 
Kuna Watu ( Wasaliti ) mliokuwa mkiwatumia ila tumeshawajua na nakuhakikishia Yanga SC itafungwa na Simba SC hiyo tarehe 16 April, 3023. Nakuomba tunza hii Post yangu na huu Uzi wangu pamoja na Wengineo.
Hivi kuna DERB ushawahi kutabiri SIMBA anafungwa kweli?Mara zote unatabiri ushindi na tunakushona dadekiii
 
Kaka GENTAMYCINE tunawategemea sana kuwakumbusha viongozi wawe makini na baadhi ya mamluki na wahujumu timu kila tunapoelekea hii mechi muhimu haswa hao wachezaji uliowataja hapo na haswa huyo mkongo ni wazi alituumiza sana kwenye game ya Ngao ya Hisani
Haiwezekani kushindwa kuifunga timu isiyo na ubora wowote wa kutisha zaidi ya kutegemea uchawi na kuzunguka mlango wa nyuma
Makolo yanaruka na kukanyaga yanaruka kinyama×2
 
It's sad Genta huwezi kuaccess Uzi wako saiv [emoji28], ila Hongera sana
 
Back
Top Bottom