Yafuatayo yafanyike Simba SC kuelekea 'Derby' yetu na Wao Jumapili tarehe 16 April, 2023

Wajinga mpo wengi sana, yani wewe unaamini huyu Jobless wa JF ana influence yoyote Simba? Kadi tu hana.

Vitu vingine vinachekesha sana.
Hongera kwa kuwa Kubwa Jinga na Taahira la JamiiForums. Naaminika kwakuwa najua mengi na nitaendelea kuwa juu hapa JamiiForums hadi mpasuke Misamba yenu kwa Kupasuka.
 
Naona mnataka kufuta uteja,ila ndio mshakuwa kama mwembe wa uwani ni mwendo wa kujichumia
 
Wewe Simba huijui, Simba tuna deal na watu watatu tu,Chama,Shabalala na Kapombe na kama hujui hii style hata Azam anaitumia ndio maana msimu huu kakugonga.

90% ya chance zenu za magoli msimu huu zimeanzia kwa hao watatu.
 
Akil za mwafrica

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Yanga jana wamecheza mechi ya Simba vs. Ihefu maana walikuwa wanataka sana mechi ya derby iamue bingwa. Sipendi kutuhumu watu bila ushahidi ila kuna wachezaji wawili wa Simba waliocheza jana wamenitia mashaka kidogo.
 
Huyo kinyesi fc anakufa tu atake astake,kichapobkilo pale pale
 
Ya saba umeleta ujinga wa udini as if Simba haina wakristo kolo wewe bin Ngada Fc wa uchawini FC kwa paka FC
 
Wajinga mpo wengi sana, yani wewe unaamini huyu Jobless wa JF ana influence yoyote Simba? Kadi tu hana.

Vitu vingine vinachekesha sana.
Mkuu kwani tatzo lipo wapi kumwambia mwanasimba mwenzetu awafikishie viongozi mawazo yetu na tunajua anayo nafasi ya kuwafikia maana viongozi nao ni watu tu na tupo nao kwenye jamii na kikubwa mkuu GENTAMYCINE anakutana na wachezaji wengi wa hizi timu kubwa haswa kwenye vijiwe vyao hivyo anachosema anakielewa
 
Achana na hilo Kubwa Jinga na Taahira la JamiiForums Dr Matola PhD

Kuna Watu wananichukulia Powa JF.
 
Mkuu Sina uhakika kama mtashinda ila Game ngumu sana kwa yanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anayeongoza Ligi awe na game ngumu ila yule wa nafasi ya Pili kwake game iwe nyepesi au sio?
 
Weka link ya group tuingie mkuu
 
Mdomo jmn, Mdomo jmn, Yanga hawana kelele hata kidogo wao wanasubiri kipute tu. Hivi kwa hakika ukiingalia Yanga na ukilinganisha na Simba utasema Simba ni Bora kuliko Yanga?

Punguzeni midomo ndio maana mnakula kichapo.
 
hahahahaha popoma umeanza kujambajamba hapa!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anayeongoza Ligi awe na game ngumu ila yule wa nafasi ya Pili kwake game iwe nyepesi au sio?
Mkuu,Dabi huwa haiangalii nani anaongoza ligi
 
dahhh!!!Madunduka bwana,ila sisi Yanga tushatoka huko...badilikeni watani mtabaki hapo mpaka lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…