Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

MO hana pesa, atatuletea wachezaji wa milioni 2!

Sisi manachama, wapenzi na mashabiki tunatakiwa tuchange pesa timu iweze kufanya usajili mzuri.
 
Daaaah we jamaa baada ya kusoma ulichokiandika halafu kila kitu kinatokea

Nimenyong'onyea sana kwenye mstari wa mwisho kwamba kati ya Inonga, Zimbwe au Baleke mmoja wao ataondoka, daaaaah!!!!
Wanaweza kubaki mkuu usiogope
 
Nyoni kaambiwa thank you jana na Simba, leo kaambiwa welcome na Namungo.
 
Aya yako ya mwisho katika bandiko halisi ibadilishe tafadhali maana huu sio utabiri ni uchawi asije akaondoka baleke
Hakuna uchawi hapo na mengine hayatatokea kutokana na mabadiriko yaliyofikiwa pamoja na vita ya Sudan
 
MO hana pesa, atatuletea wachezaji wa milioni 2!

Sisi manachama, wapenzi na mashabiki tunatakiwa tuchange pesa timu iweze kufanya usajili mzuri.
Mo ana hela tena hela kweli. Muda mwingine anaamuaga kuacha tu mumuimbe kwanza
 
Ilibaki kidogo sana ningesema UNABII UMETIMIA, UNABII WA BIBLE HUWA UNATIMI ASILIMIA 100%

UMEJITAHIDI sana Hadi sasa upo asilimia 60 ya utabiri wako.

Nadhani Hadi msimu UNAANZA unaweza kufika 90-95%
 
Ukimsikiliza Ahmed baada ya kwaheri ya Sawadogo ni kama zoezi limeisha...Kapama na Kyombo wamebaki
 

ACHA KUDANGANYWA na KUDANGANYA WATU.

Mimi sijafika hata 30 lakini naijua historia ya Mwalimu in and out vizuri.

Lini Mwalimu ALIWAHI KUTABIRI mambo ya Duniani???

Unahotuba utuwekee?????

FICHA UJINGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…