Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

613F4A01-59E7-449C-83AD-04416B5878D5.jpeg
 
Onyango na Boko wapo msimu mmoja
Onyango abaki angalau tulimwona akicheza mashindano yote pamoja na mapungufu hapa na pale. Ila Bocco abaki kwa sababu ipi? Akibaki Bocco naapa SSC itamaliza chini ya ilipomalizia msimu huu uliomalizika. Jamani Bocco aondoke kwa heshima zake ila nafasi ya kucheza awaache wengine.
 
Awaachie wengine akina nani?!..maana nafasi yake inatakiwa ichukuliwe na mzawa..mtaje anaemzidi
 
Chama, Ntiba, Bocco, Onyango, Sakho & Banda ni wachezaji wa kuachwa ila ndiyo hivyo timu inapelekwa pelekwa tu
 
Ukiulizwa kwanini waachwe huwezi kuwa na majibu..Robertinho aliyepewa dhamana na aliyekaa darasana kusomeo ukocha amewaona wanafaa.
 
Kwasababu:-

Chama haendani na falsafa ya Robertinho, amemkumbatia tu kwasababu ni kipenzi cha viongozi na mashabiki hivyo akimuweka benchi au kumfanyia mabadiliko atakua na wakati mgumu (Chama amaeigharimu sana Simba kwenye mechi 2 za Wydad kama ulikua makini kufatilia) ila msimu huu unaweza kua wa mwisho kwake kukipiga msimbazi, naona Robertinho anakuja kumuondoa taratibu.

Ntiba kidogo anaingia kwenye mfumo wa Robertinho ila changamoto umri, hana kasi kabisa. Msimu huu hatatumikasana.

Banda kila mtu anaona hakuna wa kumuweka benchi.

Onyango kila mtu anaona hali ya kutokujiamini ni kubwa sana kwake, amekua akisababisha makosa mengi sana.

Sakho hana impact yoyote hata huku Senegal anaitwa ili kutengeneza CV aende zake Ubelgiji.

Bocco uwezo umefika mwisho, malengo ya timu na uwezo wake haviendani kabisa. Bora Kibu acheze namba 9 ila sio Bocco wa sasa
 
Robertinho aliwahi kusema hamtaki Chama? Tusaidie takwimu za workrate ya Ntibazonkiza. Sakho misimu yote miwili kafunga 9goals premier league. Bocco kacheza dk ngapi NBC premier league na kufunga goli ngapi?Nikiangaliaga wachambuzi wa bongo huwa nasema wanawezaje kuitwa hivyo?
 
Kwasababu:-

Chama haendani na falsafa ya Robertinho, amemkumbatia tu kwasababu ni kipenzi cha viongozi na mashabiki hivyo akimuweka benchi au kumfanyia mabadiliko atakua na wakati mgumu (Chama amaeigharimu sana Simba kwenye mechi 2 za Wydad kama ulikua makini kufatilia) ila msimu huu unaweza kua wa mwisho kwake kukipiga msimbazi, naona Robertinho anakuja kumuondoa taratibu.

Ntiba kidogo anaingia kwenye mfumo wa Robertinho ila changamoto umri, hana kasi kabisa. Msimu huu hatatumikasana.

Banda kila mtu anaona hakuna wa kumuweka benchi.

Onyango kila mtu anaona hali ya kutokujiamini ni kubwa sana kwake, amekua akisababisha makosa mengi sana.

Sakho hana impact yoyote hata huku Senegal anaitwa ili kutengeneza CV aende zake Ubelgiji.

Bocco uwezo umefika mwisho, malengo ya timu na uwezo wake haviendani kabisa. Bora Kibu acheze namba 9 ila sio Bocco wa sasa
Acha kulisha watu maneno..kila mtu..kila mtu watu gani? Kama hufahamu kitu ni bora ukae kimya
 
Back
Top Bottom