Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

Niko hapa kuthibitisha kuwa Pape Sakho hatakuwa mchezaji wa Simba baada ya kuuzwa. Pia mchezaji Peter Banda katolewa kwa mkopo hivyo hatakuwa kikosi cha Simba.
 
  • Thanks
Reactions: K11

Usajili ndio umeishia hapo, bila shaka.
 
Kama mtaendelea kusajili wachezaji wa$ 20,000 kutokea nje ya mipaka, mtaendelea kulia na kusaga meno.
Unauona muziki wa Simba kwa hofu kubwa. Mtu atapigwa 7 nakwambia, na ninaposema mtu, namaanisha utopolo, maana hawa wengine wameshapigwapigwa
 
Mimi pia sioni umuhimu wa kuendelea kumkumbatia Saido kwenye kikosi cha Simba Sc, ni player ambaye huwa hana direct impact kwe nye mechi.
Niwekee mchezaji ligi hii toka timu yoyote anayemzidi takwimu Saidi Ntibhanzonkiza.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ni rasmi sasa Sakho kauzwa Quevilly ya French league two
 
Bila shaka mkeka umekwenda vizuri. Jina lililobaki ni Peter Banda na ambalo lina neno pengine. Hiyo pengine haikuwekwa kwa bahati mbaya. Uwezekano wa Luis kuja Simba ulikuwa wa asilimia ndogo na gafla fursa ikaja. Hivyo basi, Banda naye ataondoka kwa mkopo au kuuzwa mazima
 
Uko vizuri mkuu
 
Nasikia Yanick anahitajika hapo Lunyasi?.

Endapo deal hilo litafanikiwa, nani mwingine nje ya Banda atahamia kwingine?
 
Pamoja na Records Nzuri Msimu uliopita, msimu unaokuja anaweza asitupatie kile alichotupatia.
saido kwenye ligi yetu atakuwa mfungaji Bora tena , huko kwenye CL Hana energy na hakuna space ila nyumbani ma space kama yote ataendelea kuwa funga sana tu
 
Jefferson Luiz, golikipa wa Simba SC ameumia vibaya na atakaa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Simba imeachana naye na inamsaka mbadala wake kufikia kesho
 
Back
Top Bottom