YAH:kumkaribisha member ''GENERATION-Y'' ndani ya I.S.C

Hivi leo Jumamosi au Ijumaa? Nyerere Day imefuta kabisa ROM ya ubongo wangu!
 
Vp pale JJ! Kamati mnasemaje?
 
HEHEHE!
sisi ni wakoloni wa ajira zetu:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
HEHEHE!
sisi ni wakoloni wa ajira zetu:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

:dance::dance::dance::dance::dance:Ukiwa mkoloni mwenyewe ofisini una uwezo wa kuchakachua chochote kile
 
hehehehe!
muzee jana si uliniona muzee?
nilikuwa ''ki-familia zaidi''-hahahaha

leo sasa nipo ki-chama zaidi

Ha ha ha ha nakubali sana kutoka INTERMILAN ukaenda REAL MADRID kama mourinho vile
 
hehehehe!
muzee jana si uliniona muzee?
nilikuwa ''ki-familia zaidi''-hahahaha

leo sasa nipo ki-chama zaidi

Free like Mandela....hahahahahah...Itakuwa "ni kupanda,,,ni kupanda milimaaaa.....
 
Free like Mandela....hahahahahah...Itakuwa "ni kupanda,,,ni kupanda milimaaaa.....
hahahahaha!najua TUTAFIIKAAA TUTAA FIIIKA MAZIMAAAAAAAA!usisahau bandiko la mnyika:biggrin1::biggrin1:

mshikaji wetu yule bwana
 
@ Teamo

Vipi tena mbona umetoa barua ya siri kwenye foram?

Au ndio transparency ya slaa?
 
@ Teamo

Vipi tena mbona umetoa barua ya siri kwenye foram?

Au ndio transparency ya slaa?
hehehe!
mkuu naona umeamua kujijibu mwenyewe mi nitafanyeje sasa
 
''KNOWLEDGE IS POWER''
''...Huyu ni mzee wa majigambo. Nasikia mwanae alipooa Uchagani akaseme sasa na sisi tunatambulika kama watu tulioendelea...''-JASUSI-jf member-13th October 2010 03:38 AM

Hivi hii inahusika leo Ijumaa?
 
hahahahaha!najua TUTAFIIKAAA TUTAA FIIIKA MAZIMAAAAAAAA!usisahau bandiko la mnyika:biggrin1::biggrin1:

mshikaji wetu yule bwana

Ulijuaje kakaaa.....Kimey eee....hilo jukumu tunakuachia wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…