YAH:kumkaribisha member ''GENERATION-Y'' ndani ya I.S.C

YAH:kumkaribisha member ''GENERATION-Y'' ndani ya I.S.C

Hivi leo Jumamosi au Ijumaa? Nyerere Day imefuta kabisa ROM ya ubongo wangu!
 
Naombeni niwaulize

Hawa wakoloni wenu mmewapa nini? Mbona wanawaacha huru namna hii? Mbona mi natumikishwa namna hii?

Teamo, Kimey, the Finest, Acid na Roya Roy.....Hebu nipeni lokesheni, nataka kumtoka huyu malabuku mkoloni wangu!

Angalizo: Eneo lisiwe mbali na MDUDU na VYUMBA VYA KULALA WAGENI!
Vp pale JJ! Kamati mnasemaje?
 
HEHEHE!
sisi ni wakoloni wa ajira zetu:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
hehehehe!
muzee jana si uliniona muzee?
nilikuwa ''ki-familia zaidi''-hahahaha

leo sasa nipo ki-chama zaidi

Ha ha ha ha nakubali sana kutoka INTERMILAN ukaenda REAL MADRID kama mourinho vile
 
hehehehe!
muzee jana si uliniona muzee?
nilikuwa ''ki-familia zaidi''-hahahaha

leo sasa nipo ki-chama zaidi

Free like Mandela....hahahahahah...Itakuwa "ni kupanda,,,ni kupanda milimaaaa.....
 
Free like Mandela....hahahahahah...Itakuwa "ni kupanda,,,ni kupanda milimaaaa.....
hahahahaha!najua TUTAFIIKAAA TUTAA FIIIKA MAZIMAAAAAAAA!usisahau bandiko la mnyika:biggrin1::biggrin1:

mshikaji wetu yule bwana
 
@ Teamo

Vipi tena mbona umetoa barua ya siri kwenye foram?

Au ndio transparency ya slaa?
 
@ Teamo

Vipi tena mbona umetoa barua ya siri kwenye foram?

Au ndio transparency ya slaa?
hehehe!
mkuu naona umeamua kujijibu mwenyewe mi nitafanyeje sasa
 
''KNOWLEDGE IS POWER''
''...Huyu ni mzee wa majigambo. Nasikia mwanae alipooa Uchagani akaseme sasa na sisi tunatambulika kama watu tulioendelea...''-JASUSI-jf member-13th October 2010 03:38 AM

Hivi hii inahusika leo Ijumaa?
 
hahahahaha!najua TUTAFIIKAAA TUTAA FIIIKA MAZIMAAAAAAAA!usisahau bandiko la mnyika:biggrin1::biggrin1:

mshikaji wetu yule bwana

Ulijuaje kakaaa.....Kimey eee....hilo jukumu tunakuachia wewe
 
Back
Top Bottom