YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN .

YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN .

nilimchonganisha na Husyn hadi husy akaenda ka Judgy
afu King'ast nikampa msuba siku walopanda akamfanyie engagement.
Kumbe wewe ndo umesababisha King'ast akataka kujinyonga eeh
Basi kumbe kuwa ng'ombe ilikuhusu
 
Hahahaaaa
Yan sipati picha ngoma itakuwaje aisee maana lol
Watu wamechoka sana aisee....
Kama kawaida naanzia City Park nakula zangu kuku mzima na trupa nusu nakuwa tayari nishakuwa na nguvu za kukimbia toka USA River hadi town in case of anything....yan ni kama nimejaza mafuta full tank
Hahahahaa! Kama nakuona unavyokimbia hahahaha! Usa river mpaka town lol.... Nimecheka sana,.. Wakati unaingia town from usa river upumzikie hapa kwa mollel ya karibu na tank la maji, ntakuwepo kukupepea jasho...hahaha!
 
Hahahaaa aisee....
Dah nakumbuka 2010 niliwashwa macho balaaa mh hata sijakomaga
Teh
 
Miss you...
Nimeongea na Vivian kuhusu Bagah kasema ngoja asubuhi atanipa jubu kamili ila nicheck na Bagah nione kama yuko tayari kubadili tabia ya kutaka kila msichana....
Otherwise hana tatizo jingine
 
Hahahaaa aisee....
Dah nakumbuka 2010 niliwashwa macho balaaa mh hata sijakomaga
Teh
Umenikumbusha kidogo tulale manispaa kwaajili ya kusubiria matokeo ya Lema yatangazwe, sitasahau nilishindia maji ya kilimanjaro lol...toka sa 2 asubuhi mpaka 12 jioni..

Wacha kabisa Erick, maji ya bendera ni noma ati!
 
Miss you...
Nimeongea na Vivian kuhusu Bagah kasema ngoja asubuhi atanipa jubu kamili ila nicheck na Bagah nione kama yuko tayari kubadili tabia ya kutaka kila msichana....
Otherwise hana tatizo jingine

Miss you too darlin..
Mwambie bagah muda wa ku settle down umefika.. No more "hit and runs!"..
 
Naomba ukomee hapo hapo. Bagah ni muongo, Bagah nikiwa sipo JF yeye yupo na mwingine, Bagah ni Mura

Gosh my God! BAGAH tumemuweka chini sisi watu wazima tukamfunda , akafundika !
Tukamuweka katika majaribio tukajiridhisha.
Hakika huyu ni new BAGAH !
Pls pls Vivian kinywa cha mtu mzima dawa!
Unataka nikauweke wapi uso wangu ?
Una hakika hunifedheheshi ? Mie na wenzangu? Hebu rejesha moyo wako nyuma.
Pls accept the matter ! Na sisi tuko nyuma yako unanisikia Vivy?
 
Umenikumbusha kidogo tulale manispaa kwaajili ya kusubiria matokeo ya Lema yatangazwe, sitasahau nilishindia maji ya kilimanjaro lol...toka sa 2 asubuhi mpaka 12 jioni..

Wacha kabisa Erick, maji ya bendera ni noma ati!
Hahahaaa ilikuwaga noma sana aisee....
Tulikuwa tunazunguka ile keep left ya wanyama....lol raha sana.....
Kesho USA ingekuwepo ingekuwa poa sana
 
Miss you too darlin..
Mwambie bagah muda wa ku settle down umefika.. No more "hit and runs!"..
Hope ataelewa sasa....usijali.
Naomba kesho akija home uongee nae basi eeeh
Mi nitaenda kwa Judgement kufanya mipango yakwenda kwa akina Vivian....
Sawa bby...!
 
Back
Top Bottom