Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
JG afadhali umekuja....Gosh my God! BAGAH tumemuweka chini sisi watu wazima tukamfunda , akafundika !
Tukamuweka katika majaribio tukajiridhisha.
Hakika huyu ni new BAGAH !
Pls pls Vivian kinywa cha mtu mzima dawa!
Unataka nikauweke wapi uso wangu ?
Una hakika hunifedheheshi ? Mie na wenzangu? Hebu rejesha moyo wako nyuma.
Pls accept the matter ! Na sisi tuko nyuma yako unanisikia Vivy?
Vivian amekubali ombi ila katupa mashart....
1. Bagah aache tabia ya kwenda majukwaa mwengine yasiyomuhusu.km la Matangazo madogomadogo na Siasa
2.Atangaze hadharani kuwa Bi Nyakomba si wake tena na hajawahi kuwa nae
3.Ataacha tabia ya pendapenda
4.Atampenda kwa dhati na hatamgonganisha na wadada wengine