Kumbe wewe ndo umesababisha King'ast akataka kujinyonga eehnilimchonganisha na Husyn hadi husy akaenda ka Judgy
afu King'ast nikampa msuba siku walopanda akamfanyie engagement.
Amy....Kaizer..
Hahahahaa! Kama nakuona unavyokimbia hahahaha! Usa river mpaka town lol.... Nimecheka sana,.. Wakati unaingia town from usa river upumzikie hapa kwa mollel ya karibu na tank la maji, ntakuwepo kukupepea jasho...hahaha!Hahahaaaa
Yan sipati picha ngoma itakuwaje aisee maana lol
Watu wamechoka sana aisee....
Kama kawaida naanzia City Park nakula zangu kuku mzima na trupa nusu nakuwa tayari nishakuwa na nguvu za kukimbia toka USA River hadi town in case of anything....yan ni kama nimejaza mafuta full tank
Hahaha! Ole wako asipoongeza!Big up sana madame...!
Ngoja nimwambie Invisible akuongeze Reputation Power walau ifike 4000
Hahahaaa aisee....Hahahahaa! Kama nakuona unavyokimbia hahahaha! Usa river mpaka town lol.... Nimecheka sana,.. Wakati unaingia town from usa river upumzikie hapa kwa mollel ya karibu na tank la maji, ntakuwepo kukupepea jasho...hahaha!
Amesema akiongeza zitazidi post so atakuongeza 2 tuHahaha! Ole wako asipoongeza!
Kumbe wewe ndo umesababisha King'ast akataka kujinyonga eeh
Basi kumbe kuwa ng'ombe ilikuhusu
Amy....
Miss you...Ricky..
Hahahaha! 2 tu? khaaa!Amesema akiongeza zitazidi post so atakuongeza 2 tu
Posho itakuwa haikuwafikia wahusika...haikunihusu
mbona nilitoa posho ya 200,000 kabisa.
nilimchonganisha na Husyn hadi husy akaenda ka Judgy
afu King'ast nikampa msuba siku walopanda akamfanyie engagement.
Hee unaona chache?Hahahaha! 2 tu? khaaa!
Kitu cha Arachuga hicho....mbaya wewe, king'asti ulimpa msuba?
Kilikuwa cha tarime nini?
Umenikumbusha kidogo tulale manispaa kwaajili ya kusubiria matokeo ya Lema yatangazwe, sitasahau nilishindia maji ya kilimanjaro lol...toka sa 2 asubuhi mpaka 12 jioni..Hahahaaa aisee....
Dah nakumbuka 2010 niliwashwa macho balaaa mh hata sijakomaga
Teh
Kitu cha Arachuga hicho....
Miss you...
Nimeongea na Vivian kuhusu Bagah kasema ngoja asubuhi atanipa jubu kamili ila nicheck na Bagah nione kama yuko tayari kubadili tabia ya kutaka kila msichana....
Otherwise hana tatizo jingine
Naomba ukomee hapo hapo. Bagah ni muongo, Bagah nikiwa sipo JF yeye yupo na mwingine, Bagah ni Mura
Hahahaaa ilikuwaga noma sana aisee....Umenikumbusha kidogo tulale manispaa kwaajili ya kusubiria matokeo ya Lema yatangazwe, sitasahau nilishindia maji ya kilimanjaro lol...toka sa 2 asubuhi mpaka 12 jioni..
Wacha kabisa Erick, maji ya bendera ni noma ati!
Hope ataelewa sasa....usijali.Miss you too darlin..
Mwambie bagah muda wa ku settle down umefika.. No more "hit and runs!"..