YAH . WARAKA WA PROPASAL (POSA) KATI YA MR. BAGAH Vs MISS. VIVIAN .

JG afadhali umekuja....
Vivian amekubali ombi ila katupa mashart....
1. Bagah aache tabia ya kwenda majukwaa mwengine yasiyomuhusu.km la Matangazo madogomadogo na Siasa
2.Atangaze hadharani kuwa Bi Nyakomba si wake tena na hajawahi kuwa nae
3.Ataacha tabia ya pendapenda
4.Atampenda kwa dhati na hatamgonganisha na wadada wengine
 
Hahahaaa ilikuwaga noma sana aisee....
Tulikuwa tunazunguka ile keep left ya wanyama....lol raha sana.....
Kesho USA ingekuwepo ingekuwa poa sana
Usa napaogopa manake mbali na mjini, ila wakitangaza kamanda Nasari kashinda natia timu haraka sana lol. Ntakupigia nikiwa hapo.
 
Usa napaogopa manake mbali na mjini, ila wakitangaza kamanda Nasari kashinda natia timu haraka sana lol. Ntakupigia nikiwa hapo.
Poa unijulishe tu mi ntakuwa huko huko nimejichimbia Dik Dik nakula nyama choma
 
Miss you...
Nimeongea na Vivian kuhusu Bagah kasema ngoja asubuhi atanipa jubu kamili ila nicheck na Bagah nione kama yuko tayari kubadili tabia ya kutaka kila msichana....
Otherwise hana tatizo jingine

na kweli ni kila msichana...maana hata shemeji zangu nimewataka!..LIVE!..
 
Na usijaribu manake bi Nyakomba atakung'ofoa macho!

Shem mbona unamtisha bwanaa!
Bendera ya Nyakomba ishashuka !
Nyakomba ana nini na wewe una nini ?
Dunia ya global umuhofie mtu mwenye same gender na wewe? Haiyumkini .
Still sijaikata tamaa na Vivy !
 
Shem mbona unamtisha bwanaa!
Bendera ya Nyakomba ishashuka !
Nyakomba ana nini na wewe una nini ?
Dunia ya global umuhofie mtu mwenye same gender na wewe? Haiyumkini .
Still sijaikata tamaa na Vivy !

pole braza kwa harakati...sasa leo utaweza kula chakula cha usiku kweli??
 

excellent !
 
pole braza kwa harakati...sasa leo utaweza kula chakula cha usiku kweli??

Usijali mdogo wangu!
uHUGE dampo!
Semea tu hebu morow fanya kama alivyokwambia 52 usijali we have earn a trophy soon !
Jigo tunabeba.
 

Safi.. Vigezo anavyo... Akikataliwa aniambie nimpe namba za yule " J" 000 atamfaa sana
 
Barua mbona haikuandikwa kwa mpangilio,inaonekana hao washenga hawajaenda shule
 
Barua mbona haikuandikwa kwa mpangilio,inaonekana hao washenga hawajaenda shule

Unaweza kua uko sahihi ! Kwa maana ndiyo niko shule , na bado sijahitimu!
Ningefarijika zaidi ungenipa utaalamu zaidi katika hili .
Kwani haiwi rahisi mtu kuingia tu skuli na ukahitimu papo kwa papo!
 
hiyo kamati naomba tu isiongozwe na erick
 
wala hatutegemei utatufedhehesha sisi washenga kwa ujumla wetu.

Alafu nyie washenga mnakurupuka kupeleka posa kabla hamjamuweka sawa binti, mliiona wapi hii?
Anaeweza kulazimisha mtoto wake aolewe kwa lazima ni Mtambuzi tu, mtoto atake asitake posa ikipeleka utaozeshwa tu

Kwa majibu haya mshafedheeshwa....!

Naomba ukomee hapo hapo. Bagah ni muongo, Bagah nikiwa sipo JF yeye yupo na mwingine, Bagah ni Mura

Bagah is a player boy. namuogopa
 
Safi.. Vigezo anavyo... Akikataliwa aniambie nimpe namba za yule " J" 000 atamfaa sana

kitu cha Jn000 sikiwezi bana...yuko resi mbaya...Van hunipendi sio?
 
Alafu nyie washenga mnakurupuka kupeleka posa kabla hamjamuweka sawa binti, mliiona wapi hii?
Anaeweza kulazimisha mtoto wake aolewe kwa lazima ni Mtambuzi tu, mtoto atake asitake posa ikipeleka utaozeshwa tu

Kwa majibu haya mshafedheeshwa....!
Dah halafu ni kama washawahi kuonana anga fulani wakakamatana....
Mh ila tunashukuru binti ameshakaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…