Hahhaahahaaa ndo uache sasa hizo tabia zako....na kweli ni kila msichana...maana hata shemeji zangu nimewataka!..LIVE!..
Sawa ushampata tayari au ndo unataka kuanza kumtafuta?Naona posa mwaka huu zimekuwa nyingi kweli ngoja na mimi nilete ya kwangu.
Naona posa mwaka huu zimekuwa nyingi kweli ngoja na mimi nilete ya kwangu.
JG kwa ninavyomjua Young Master lazmaatajikita kwenye bold hapo juu.....YM , Umekuaje? Siku zote hizi hujaparangana ?
Weka mpango mkakati !
Humu kuna wasichana ma'bi dada,
wapo wadada ma'sharomaro!
Wapo wadada wa'sure,
wapo mijimama ambayo inahitaji akina Marioyoo,
utajikita kupi ?
Aisee JG jana nilienda na kiukweli ilikuwa safi saaaaaana......52 za leo!
Hebu tutonyeni data za alumelu sie tuko mbali huku ziwani , watu wanaendelea vema kusindilia karatasi zao into ballot au ?
Aisee JG jana nilienda na kiukweli ilikuwa safi saaaaaana......
Kushiriki live ni raha sana....
CDM watachukua labda jamaa wachakachue na watumie nguvu sana ndio watafanikiwa na wataleta madhara sana....
Tulikuwa na Sweetlady tukifuatilia kwa ukaribu sana....
Leo ntaenda mchana kwenye saa 9 hivi then ntakuupdate
Hahahaaaaaa aisee....B52 mbona unanitafuta lakini?
Mwanao alikuja akaahidi kuja tena ila hajaonekana tena hadi sasaJamani nilipotea kidogo nilikuwa na weka sawa mambo ya kifamilia kwa ajili ya ugeni.
Hahahaaaaaa aisee....
Samahani...tulikuwa kikazi zaidi
Hapana....we siunajua shemeji yako yupo?Utanifanya nimpe za uso my wife
Umeniacha nalinda kura peke angu...kuja bana tushirikiane kuing'oa ccm!Aisee JG jana nilienda na kiukweli ilikuwa safi saaaaaana......
Kushiriki live ni raha sana....
CDM watachukua labda jamaa wachakachue na watumie nguvu sana ndio watafanikiwa na wataleta madhara sana....
Tulikuwa na Sweetlady tukifuatilia kwa ukaribu sana....
Leo ntaenda mchana kwenye saa 9 hivi then ntakuupdate
Dah kapita hapa akanipa bonge la mkwara....LolUmeniacha nalinda kura peke angu...kuja bana tushirikiane kuing'oa ccm!
@ nitonye my sweet husband, just relax honey, nakupenda peke ako na hakuna wa kuubadilisha moyo wangu chini ya hili jua!.. Plz usiwe na wasi wala shaka na yeyote!
Mwaaaaaaa!
Love you darling!
Hahahah hahahhha,Hahahaaaa ngoma kesho ukipiota lazma ban ikuhusu maana kuna watu watakuwa na hasira za hatari....
Kama kawaida saa 9 ndani ya USA kuhesabu kura.....na ntakuwa online Jukwaa la siasa mwanzo mwisho wenye wivu wajiju...hasa.....Rejao na Cantalisia
HahahaaaaaaHahahah hahahhha,
Shem mie wivu nnao kwa mume wangu Rejao na sio kwenye sihasa atiiii!
Hata ukiniona kule nakua nimeenda kulinda mzigo wangu tu,
BTWlile jukwaa lao hata kwa Greda siiandiki chochote zaidi ya kusoma maandiko ya mme wangu tu lol!
Aka mie,Hahahaaaaaa
Kule kwa kipindi kama hiki ni pazuri sana