Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Mkewe atamuwekea dhamana na kesho tu mwamba Yuko mtaani, baada ya wiki kelele zikipungua kesi inafutwa Kama ya Gekul.
Wakubwa hawaangushani, tusiopendana ni sisi huku uswazi.
Pale mahakama ya kisutu ushawahi kusikia mtuhumiwa Ni MTU wa masaki, unadhani watu wa masaki hawafanyi makosa ya jinai?
 
Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.
Kumbe alimfira kwenye LC? Ila awataje wengine waliomfira kabla ya RC bila hivyo atakua ana Jambo lake nakumbuka yule Mama walisema kamwingizia dogo Chupa mkunduni sijui Ile kesi iliishaje, siasa noma
 
Hakuna kesi hapo. DPP atasema hana nia ya kuendelea na kesi. Kumbuka yule mama wa Babati aliyewatomba wale vijana na chupa za mkunduni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…