🤝Nisichoelewa Huyo binti Alifikaje kwenye Gari ya RC? Mtu ambae Analawitiwa kwa nguvu hata ikiwa chumbani si Jambo Rahisi najiuliza lwa nafasi ndogo Garini iliwezekana vipi kama hakutoa ushirikiano? Unataka unambie Alivuliwa nguo kwa nguvu garini?
Kwa utawala wa Ccm hii sio stori.Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.
Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.
Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.
Pia soma:
Hata kama aliridhia ila nafasi ya mlawiti inaweza tumika kubaka.Nisichoelewa Huyo binti Alifikaje kwenye Gari ya RC? Mtu ambae Analawitiwa kwa nguvu hata ikiwa chumbani si Jambo Rahisi najiuliza lwa nafasi ndogo Garini iliwezekana vipi kama hakutoa ushirikiano? Unataka unambie Alivuliwa nguo kwa nguvu garini?
Aisee 🙄Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea
Taarifa alitoa dada muinguliwa
Picha yake please kwa alienayoFigure ya huyo Binti ni Mnyaruanda
Wafadhili, mkuu '7ve', wafadhili.Si shahidi alie tendewa alifuta kesi kwamba anatumika kisiasa au wanatufanyia maigizo
Siasa hizo!!Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.
Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.
Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.
Pia soma:
Kwamba kasingiziwa?Kila hatua ya maendeleo unakutana na changamoto ila komaa tu litaisha tu, na utapata cheo zaidi ya hicho.
Kinyesi kinatoka kwenye Mifugo!! SEMA MAVIAlifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea
Taarifa alitoa dada muinguliwa
Thibitisha kwamba kasingiziwa ndiyo ueleweke.Sentensi za kuomba huruma hazisaidii.Siasa hizo!!
Kawapimeni wanafunzi wote muone kama hamjazimia!!! Siasa tu hizo za kibongo
Kitendo cha CCTV kunasa mtu amafanyia mapenzi kwenye gari lenye usajili wa namba za kiserikali inatosha kumfikisha mahakamani mtu huyo hata kama sio swala la kulawiti. Matumizi mabaya ya ofisi na mali za umma
Pole yakeJeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.
Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana ana tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.
Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.
Pia soma:
Punyee. Huwa tunajilaumu binafsi.Bora fedheha ya punyeto kuliko fedheha za namna hii
Kisaikolojia hilo linaweza kuwa limetokana na majibizano waliofanya kwenye simu baada ya tendo.kwanza inakuwaje mpaka anaingizwa ndani anafanyiwa hayo mambo then baadae ndiyo anakuja kushitaki
alifosiwa kufanya mapenzi au ndiyo namna nyengine ya kuchafua watu?
sisiemu unaijuaSi shahidi alie tendewa alifuta kesi kwamba anatumika kisiasa au wanatufanyia maigizo
Comment Bora ya Mwaka 2024 kwangu Mimi labda KIDOGO na Max na Fred, who's Fred? "Fred was my homie, my day 1 n-gga" (in Zizi Voice) God is good all the time 🙏🏼Siasa hizo!!
Kawapimeni wanafunzi wote muone kama hamjazimia!!! Siasa tu hizo za kibongo
Ushawahi kusikia Malaya amebakwa? Tokea uzaliwe ushawahi sikia HIO?Kama alifanya kitendo hicho apate sitahili yake!
Ingawa kwa mazingira ya kesi yenyewe yalivyo na ukizingatia rushwa ipo huenda akaachiwa huru!