Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Alifanikiwa ndio maana polisi walisema kwenye barua yao iliyovuja kuwa dada alipotoa taarifa alikutwa na nguo zenye kinyesi na pia daktari alithibitisha dada aliingiliwa na kitu chenye ncha butu kwenye sehemu za kunyea

Taarifa alitoa dada muinguliwa
Jamani shetani ana nguvu sana kwahiyo RC alikuwa anatifua mavi? Dah! Very disgressive
 
Je? Alifanikiwa kufanya hivo, au alikuwa anajaribu tu, au aliteleleza.

Nani aliyetoa taaaifa?

Naombeni majib
Baada ya uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za aliye wahi kuwa mkuu wa mkoa wa simiyu kula kisamvu vha mwanafunzi wa chuo mahakama imethibitisha pasipo na shaka kuwa mtuhumia hana hatia na imemwachia huru kwani aliye dhaniwa ni mwanafunzi wa chuo alidanganya mahakama kwa lengo la kujipatia fedha …mwishi wakunukuuu
 
Ndio utetezi mbele ya mahakama huo?
Watu wengi sana wanaenda jela kipuuzi mno kwa kujifanya wajuaji kumbe hawajui. Siku wanawake wa Tanzania wakiamua kuamka watu wengi sana wataenda jela kwa makosa yanayohusiana na ngono.
 
kama sabaya yupo njee haya mengine maigizo tu
cc.
said mohamed mtanda zile laki sita zimeliwa bure?
 
Umeandika mengi ila sio mahala pake, uislami unahusiana nini na hizo tuhuma zake.

Jitahidi kupunguza mihemko kwenye mambo sirias.
 
Tunaita HALO ERROR.... yaani mtu akiwa mzuri kwenye jambo moja basi inaficha ubaya kwenye jambo jingine. Kwamba akiwa mchapa kazi hawezi kuwa fisadi? Hata Lumumba licha ya kupinga ukoloni alikua anahusudu umalaya sana, hata akienda nchi za ulaya anataka aletewa makahaba wa kizungu. Kwahiyo uzuri upande mmoja haufuti mabaya upande wa pili
 
Udini unaingiaje hapa? Mimi ni mkristo ila nikwambie ukweli kabisa ukikutana na muislam mshika dini huwa hana roho mbaya. Hata tu muone JK, Samia na mwinyi uliwahi ona wanamdhalilisha mtu au kufoka foka kulinganisha na Mkapa au JPM?

So ikija kwenye ukatili sidhani kama waislam wapo. Hao Al shabaab sijui ISIS ni extremists tu wala sio washika dini. So lazima useme madaraka yanamharibu mtu ila sio dini
 
Umeandika mengi ila sio mahala pake, uislami unahusiana nini na hizo tuhuma zake.

Jitahidi kupunguza mihemko kwenye mambo sirias.
Kuna mahusiano kati ya tabia, maneno na malezi, imani aliyonayo mhusika..mambo ya nje kama wizi, uongo, ukatili, kutojali yana msukumo kutoka ndani ambako malezi na imani vinakaa..
 
Mkuu kinachofanyika ni hivi
Binti anachunguzwa kama kaingiliwa
Pia kama wakikuta mbegu au sampuli ya aina yoyote ile ambayo itashukiwa ni ya mlawiti itachukuliwa na kupima vina saba.

Pia watackukua sampuli toka kwa mlawiti nazo watapima vina saba kulinganisha na lolokuta eneo la tukio/kwenye mwili wa mlawitiwa vikiungana tuu au visipoungana daktari ataandika alichokiona vitafungwa kwenda mahakamani

Siku waktaka ushahidi wa mtaalam ndo anakuja fungua ushahid wake na kusema nini aliona baada ya uchunguzi


Mfano
1. Aliona mchubuko sehemu ya haja kubwa.
2. Alikuta mbegu za kiume. Na baada ya kuzipima na kupima za mlalamikiwa ziliendana au la!
3. Recomendetion yake kama mtaalam baada ya hapo mahakama ikiunganisha na ushahidi mwingne ambao inakuwa ishausikiliza ndo inasema kuwa mtuhumiwa anatiwa hatiani ama la!

Makosa kama haya ya penetration kama nipendavyo kuyaita. Kuchomoka na kutiwa hatiani ni 50 kwa 50 yan mtaalam akithibitisha tuuuu umepona au umekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…