Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Hukuwa na haja ya kuhusisha udini kwenye post yako mkuu.
 
Kwa hiyo kwako kufoka ni roho mbaya.. imani inamfundisha mtu kuchukia mabaya au visababishi vya mambo mabaya, mtu mzembe anayesababishia wenzake matatizo huwezi mchekea au kumyamazia unapokuwa umepewa jukumu la usimamizi..na sudan wako ISIS, chad je..haya kwa uzoefu wako unadhani kwa nini mikoa penye historia ya uislamu pana umaskini sana.., mtwra, Lindi, Tabora..Why?
 
UMEMSAHAU NA MBOWE YUPO MTAANI MZEE WA SUMU HAIONJWI, ANWAWANGWE WENZIE
 
Kuna mahusiano kati ya tabia, maneno na malezi, imani aliyonayo mhusika..mambo ya nje kama wizi, uongo, ukatili, kutojali yana msukumo kutoka ndani ambako malezi na imani vinakaa..
Ni sawa lakini sio mahala pake hapo.

Unajua thamani ya nyumba inabebwa na hadhi ya kiwanja kwanza, sasa unaweza kuzungumza point sana ila inategemea umeizungumza wapi na kwenye tukio gani, hapo ndipo utaisoma hekima ya mtu.
 
Sarakasi tu hizo. Hii nchi haina huo uadilifu.
Yupo wapi Bashite? Nani amemgusa?
Yupo wapi Sabaya? Mbona wamemshitaki, wakamhukumu na baadaye wakafuta hadi hukumu?
Vipi kuhusu Gekul? Alimuingizia kijana chupa sehemu ya haja kubea, wakamtengua, lakini kesi ilipofunguliwa DPP akaenda kuifuta.
Mnasahau ajali ya Dodoma maiti ikakutwa Moshi? Kwamba ilipelekwa na boyfriend halafu boyfriend akatokomea mazima na hakujulikana?
 
Na Mbowe pia yupo mtaani
 
Safi sana... 😂
 
Hawezi kutwa na hatia, wanalindana hao, kumbuka raia aliua mkuu wa mkoa akahukumiwa kuuawa na akanyongwa, ila mkuu wa mkoa alivyoua raia nazani unajua kilichotokea
Bwana Ditopile..... Mwenyezi Mungu alimaliza kazi yake.....
 
Source!?
 
AIBU kwa Kwa FAMILIA yaje,Aliyemteua na CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…