Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Huyu aliondolewa uDC kipindi cha Magufuli, alirudishwaje? anasifa gani pekee ambazo wengine hawana..lakini tatizo siyo kina nawanda tatizo liko kwa mteuzi na watu wake..jinai kama hizi ni hulka ya mtu, wnapitaje vetting watu wa aina hii km sio connection, hapo ikulu kuna connection za kihalifu, mtu km Hamsini yule DED Arusha, aliondolewa baada ya kutoka serengeti..nani alimrudisha, na kwa sifa zipi? binafsi sijawahi kuwaamini waislam hii ni kutokana na wengi wao kuwa na tatizo kwenye malezi, na imani yao indirectly inafundisha au inatetea mambo mabaya kwa wengine hata kama kwao kiimani ni mazuri.. ukatili, unafiki, ubinafsi, chuki kwa watu wengine, ushirikina, kisasi, kutojali, wanapenda fujo nk na wengi bila kujua hata km ni wa imani zingine wanabehave km waislam..waislamu wengi hawana uwezo na sifa kuwa viongozi, angalia nchi km sudani..wao kwa wao wanamalizana, somalia, chad nk na wako wengi sana kina nawanda kwenye uongozi..wao uongozi ni sifa na kula, si kutumikia watu! chunguza vzr utaona ninachosema..
Hukuwa na haja ya kuhusisha udini kwenye post yako mkuu.
 
Udini unaingiaje hapa? Mimi ni mkristo ila nikwambie ukweli kabisa ukikutana na muislam mshika dini huwa hana roho mbaya. Hata tu muone JK, Samia na mwinyi uliwahi ona wanamdhalilisha mtu au kufoka foka kulinganisha na Mkapa au JPM?

So ikija kwenye ukatili sidhani kama waislam wapo. Hao Al shabaab sijui ISIS ni extremists tu wala sio washika dini. So lazima useme madaraka yanamharibu mtu ila sio dini
Kwa hiyo kwako kufoka ni roho mbaya.. imani inamfundisha mtu kuchukia mabaya au visababishi vya mambo mabaya, mtu mzembe anayesababishia wenzake matatizo huwezi mchekea au kumyamazia unapokuwa umepewa jukumu la usimamizi..na sudan wako ISIS, chad je..haya kwa uzoefu wako unadhani kwa nini mikoa penye historia ya uislamu pana umaskini sana.., mtwra, Lindi, Tabora..Why?
 
Tushazoea hizo sarakasi za Lumumba.

Gekul yuko mtaani.

Sabaya yuko mtaani.

Makonda yuko mtaani

Kenan Kihongosi yuko mtaani.

Majizi, wauwaji, vibaka ni sehemu ya CCM huo ni upepo tu utavuma na mwisho wa siku utasikia DPP hana nia ya kuendelea na kesi maana hakuna ushahidi wa kutosha kumtia mshtakiwa hatiani.
UMEMSAHAU NA MBOWE YUPO MTAANI MZEE WA SUMU HAIONJWI, ANWAWANGWE WENZIE
 
Kuna mahusiano kati ya tabia, maneno na malezi, imani aliyonayo mhusika..mambo ya nje kama wizi, uongo, ukatili, kutojali yana msukumo kutoka ndani ambako malezi na imani vinakaa..
Ni sawa lakini sio mahala pake hapo.

Unajua thamani ya nyumba inabebwa na hadhi ya kiwanja kwanza, sasa unaweza kuzungumza point sana ila inategemea umeizungumza wapi na kwenye tukio gani, hapo ndipo utaisoma hekima ya mtu.
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana na tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
Sarakasi tu hizo. Hii nchi haina huo uadilifu.
Yupo wapi Bashite? Nani amemgusa?
Yupo wapi Sabaya? Mbona wamemshitaki, wakamhukumu na baadaye wakafuta hadi hukumu?
Vipi kuhusu Gekul? Alimuingizia kijana chupa sehemu ya haja kubea, wakamtengua, lakini kesi ilipofunguliwa DPP akaenda kuifuta.
Mnasahau ajali ya Dodoma maiti ikakutwa Moshi? Kwamba ilipelekwa na boyfriend halafu boyfriend akatokomea mazima na hakujulikana?
 
Na Mbowe pia yupo mtaani
 
Safi sana... 😂
Baada ya uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za aliye wahi kuwa mkuu wa mkoa wa simiyu kula kisamvu vha mwanafunzi wa chuo mahakama imethibitisha pasipo na shaka kuwa mtuhumia hana hatia na imemwachia huru kwani aliye dhaniwa ni mwanafunzi wa chuo alidanganya mahakama kwa lengo la kujipatia fedha …mwishi wakunukuuu
 
Hawezi kutwa na hatia, wanalindana hao, kumbuka raia aliua mkuu wa mkoa akahukumiwa kuuawa na akanyongwa, ila mkuu wa mkoa alivyoua raia nazani unajua kilichotokea
Bwana Ditopile..... Mwenyezi Mungu alimaliza kazi yake.....
 
Baada ya uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za aliye wahi kuwa mkuu wa mkoa wa simiyu kula kisamvu vha mwanafunzi wa chuo mahakama imethibitisha pasipo na shaka kuwa mtuhumia hana hatia na imemwachia huru kwani aliye dhaniwa ni mwanafunzi wa chuo alidanganya mahakama kwa lengo la kujipatia fedha …mwishi wakunukuuu
Source!?
 
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo, Juni 13, 2024 Naibu Kamishina wa Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbrod Mutafungwa amesema mtuhumiwa huyo amekamatwa leo jijini Mwanza saa 6.00 mchana.

Kwa mjibu wa Kamanda Mutafungwa amesema tayari jeshi hilo limeanza kufanya mahojiano sanjari na kufanya uchunguzi wa kimaabara kuhusiana na tuhuma hizo na baada ya kukamilisha uchunguzi utafikishwa kwenye ofisi za mashtaka.

Pia gari alilokuwa anatumia mtuhumiwa huyo nalo linashikiliwa.

Pia soma:
AIBU kwa Kwa FAMILIA yaje,Aliyemteua na CCM
 
Back
Top Bottom