Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Yahaya Nawanda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za ulawiti

Ni sawa lakini sio mahala pake hapo.

Unajua thamani ya nyumba inabebwa na hadhi ya kiwanja kwanza, sasa unaweza kuzungumza point sana ila inategemea umeizungumza wapi na kwenye tukio gani, hapo ndipo utaisoma hekima ya mtu.
Km yapo baadhi ya mambo jamii yetu inapaswa kuyaishi kwa sasa ni kuambizana ukweli pasina kujali muda, hadhi, umri nk..hii ni dawa nzuri kwa sasa, baada ya kujaribu dawa nyingi muda mrefu ikiwemo hiyo unayosema kuangalia mazingira..kweli inatibu mambo mengi sana tuliyo nayo kwenye jamii.
 
Kwa hiyo kwako kufoka ni roho mbaya.. imani inamfundisha mtu kuchukia mabaya au visababishi vya mambo mabaya, mtu mzembe anayesababishia wenzake matatizo huwezi mchekea au kumyamazia unapokuwa umepewa jukumu la usimamizi..na sudan wako ISIS, chad je..haya kwa uzoefu wako unadhani kwa nini mikoa penye historia ya uislamu pana umaskini sana.., mtwra, Lindi, Tabora..Why?
DRC ni nchi ya wakristo mbona vita, Kenya tu hapo wakristo ni 80% ila kila siku maandamano migomo n.k, Same to South Africa 90% wakristo ila wanaua wageni kila siku. Israel tu hapo sio waislam ila wanachinja wapalestina kila kukicha. Umeitaja Sudan ila umesahau Sudan kusini ni wakristo 100% ila wanachinjana tokea wamepata uhuru. So dini haina connection na ukatili wa mtu
 
Km yapo baadhi ya mambo jamii yetu inapaswa kuyaishi kwa sasa ni kuambizana ukweli pasina kujali muda, hadhi, umri nk..hii ni dawa nzuri kwa sasa, baada ya kujaribu dawa nyingi muda mrefu ikiwemo hiyo unayosema kuangalia mazingira..kweli inatibu mambo mengi sana tuliyo nayo kwenye jamii.
Mkuu nipe uhakika kwamba unachokizingumza wewe ndio ukweli.

NB: unachoamini wewe ni ukweli ni uongo kwa mwingine na unachoona ni uongo, ni ukweli ambao umekataa kuukubali, vise versa.

Cha msingi ni kuangalia wapi pa kuzungumza hicho unachoamini ni ukweli, kuna mstari mdogo sana kati ya upumbavu na ushujaa.
 
DRC ni nchi ya wakristo mbona vita, Kenya tu hapo wakristo ni 80% ila kila siku maandamano migomo n.k, Same to South Africa 90% wakristo ila wanaua wageni kila siku. Israel tu hapo sio waislam ila wanachinja wapalestina kila kukicha. Umeitaja Sudan ila umesahau Sudan kusini ni wakristo 100% ila wanachinjana tokea wamepata uhuru. So dini haina connection na ukatili wa mtu
Mifano yako si sahihi, nina rafiki yangu South Sudan ni Muislam. Hivyo haiwezekani ikawa 100%

Christians make up 60.5 percent of the population; followers of indigenous (animist) religions, 32.9 percent; and Muslims, 6.2 percent.

Ref: tate.gov/reports/2022-report-on-international-religious-freedom/south-sudan#:~:text=Religious%20Demography,-The%20U.S.%20government&text=The%202020%20Pew-Templeton%20Global,%3B%20and%20Muslims%2C%206.2%20percent.
 
DRC ni nchi ya wakristo mbona vita, Kenya tu hapo wakristo ni 80% ila kila siku maandamano migomo n.k, Same to South Africa 90% wakristo ila wanaua wageni kila siku. Israel tu hapo sio waislam ila wanachinja wapalestina kila kukicha. Umeitaja Sudan ila umesahau Sudan kusini ni wakristo 100% ila wanachinjana tokea wamepata uhuru. So dini haina connection na ukatili wa mtu
Kama unashindwa kutofautisha magombano ya DRC na unayotaja migomo ya Kenya na kinachofanyika Sudan au Somalia utakuwa hutaki tu kuelewa, lakini fujo za DRC naamini unafahamu fika chanzo ni nini..ni tofauti na mzozo uliopo Sudan au somalia..na hali hii ndio kati ya matatizo tuliyo nayo kwenye jamii, kukataa ukweli na kujaribu kufananisha vitu visivyofanana..
 
Siamini kama anaweza fanya hii ishu...anywys
Hata mie ila tena ukiangalia senerio nzima ya tukio kama inakuja vile maana picha CCTV zimemwonyesha mrembo akiingia Mwanza City Mall kisha akaingia kwenye hilo gari alafu akatoka na gari japo haikuwa dakika nyingi hapa shaka ndo hata mie inakuja.

Baadae akapimwa ikaonyeshwa ameingiliwa pia pamoja na nguo zake (chupi) kuonyesha Ina makinikia ya sewage, hapa napo shaka nyingine maana alichelewa kwenda kutoa taarifa, japokuwa swali la msingi nani kamwingilia)

Mwisho wa siku kama mkuu wa mkoa na ushahidi wa kimazingira una shawishi huenda halitenda tukio maana haya mambo yapo plus status ya RC na yule bidada kuwa wanawasiliana mara Kwa mara moja Kwa moja Kuna namna ya kuwa wapenzi

Mwisho wa siku kwenye ulevi hakuna kitu kinachoshindikana kama jamaa anapiga ulabu though mwanamke nae ana historia na hizi kesi related na ubakaji ambapo Kukutwa na dhahama kubakwa na jamaa alakata rufaa baadae, isije akawa bingwa wa kuwa-set watu wakijaa wameumia (anyway yote haya ni according na nilichoona ya walimwengu wa mtandaoni)
 
Mkuu nipe uhakika kwamba unachokizingumza wewe ndio ukweli.

NB: unachoamini wewe ni ukweli ni uongo kwa mwingine na unachoona ni uongo, ni ukweli ambao umekataa kuukubali, vise versa.

Cha msingi ni kuangalia wapi pa kuzungumza hicho unachoamini ni ukweli, kuna mstari mdogo sana kati ya upumbavu na ushujaa.
Ukweli ni maelezo yanayofanana na tukio au kitu pasina kubadilisha chochote..wapi pa kuzungumza kwa faida ya nani ili kusaidia au kuepuka nini? fafanua
 
Hata mie ila tena ukiangalia senerio nzima ya tukio kama inakuja vile maana picha CCTV zimemwonyesha mrembo akiingia Mwanza City Mall kisha akaingia kwenye hilo gari alafu akatoka na gari japo haikuwa dakika nyingi hapa shaka ndo hata mie inakuja.

Baadae akapimwa ikaonyeshwa ameingiliwa pia pamoja na nguo zake (chupi) kuonyesha Ina makinikia ya sewage, hapa napo shaka nyingine maana alichelewa kwenda kutoa taarifa, japokuwa swali la msingi nani kamwingilia)

Mwisho wa siku kama mkuu wa mkoa na ushahidi wa kimazingira una shawishi huenda halitenda tukio maana haya mambo yapo plus status ya RC na yule bidada kuwa wanawasiliana mara Kwa mara moja Kwa moja Kuna namna ya kuwa wapenzi

Mwisho wa siku kwenye ulevi hakuna kitu kinachoshindikana kama jamaa anapiga ulabu though mwanamke nae ana historia na hizi kesi related na ubakaji ambapo Kukutwa na dhahama kubakwa na jamaa alakata rufaa baadae, isije akawa bingwa wa kuwa-set watu wakijaa wameumia (anyway yote haya ni according na nilichoona ya walimwengu wa mtandaoni)
Hebu tuwekee wengine kavideo
Tumthaminishe

Ova
 
Hawezi kutwa na hatia, wanalindana hao, kumbuka raia aliua mkuu wa mkoa akahukumiwa kuuawa na akanyongwa, ila mkuu wa mkoa alivyoua raia nazani unajua kilichotokea
Mkuu wa mkoa alishtakiwa kwa kuua bila kukusudia ma alikufa kabla kesi haijaisha.
 
Mkuu kinachofanyika ni hivi
Binti anachunguzwa kama kaingiliwa
Pia kama wakikuta mbegu au sampuli ya aina yoyote ile ambayo itashukiwa ni ya mlawiti itachukuliwa na kupima vina saba.

Pia watackukua sampuli toka kwa mlawiti nazo watapima vina saba kulinganisha na lolokuta eneo la tukio/kwenye mwili wa mlawitiwa vikiungana tuu au visipoungana daktari ataandika alichokiona vitafungwa kwenda mahakamani

Siku waktaka ushahidi wa mtaalam ndo anakuja fungua ushahid wake na kusema nini aliona baada ya uchunguzi

Mfano
1. Aliona mchubuko sehemu ya haja kubwa.
2. Alikuta mbegu za kiume. Na baada ya kuzipima na kupima za mlalamikiwa ziliendana au la!
3. Recomendetion yake kama mtaalam baada ya hapo mahakama ikiunganisha na ushahidi mwingne ambao inakuwa ishausikiliza ndo inasema kuwa mtuhumiwa anatiwa hatiani ama la!

Makosa kama haya ya penetration kama nipendavyo kuyaita. Kuchomoka na kutiwa hatiani ni 50 kwa 50 yan mtaalam akithibitisha tuuuu umepona au umekufa
Sawa, nimekuelewa hapo kwenye vipimo...
 
Ukweli ni maelezo yanayofanana na tukio au kitu pasina kubadilisha chochote..wapi pa kuzungumza kwa faida ya nani ili kusaidia au kuepuka nini? fafanua
Ungekuwa sahihi endapo mada ingehusiana na dini, sasa huoni kwamba kwa maandishi yako hayo utaleta malumbano?

Je, hapo utakuwa umewasilisha ukweli ama umeleta fujo?
 
Unajua kwanini ilwekwa bila kukusudia? Hapo ni kumlinda mkubwa tu
Kihalali na kisheria ile ilikuwa kuua bila kukusudia.Walikuwa hawajuani,hawakuwa na ugomvi,hakukuwa na maandalizi na hata baada ya kuua RC hakufanya chochote zaidi ya kujusalimisha.Hapo wote walikutana barabarani.Provocation ilihusika pale.
 
Ungekuwa sahihi endapo mada ingehusiana na dini, sasa huoni kwamba kwa maandishi yako hayo utaleta malumbano?

Je, hapo utakuwa umewasilisha ukweli ama umeleta fujo?
Hivi nani anaweka mipaka ya kuelekeza kwamba mambo ya dini au uchumi au utamaduni yana mahali pake tofauti pa kuongea? kana kwamba hayahusiani...lakini yote yanamhusu binadamu na ilivyo, jambo la dini au itikadi ya siasa linaweza kuwa linaathiri kwa kiwango kikubwa matokeo ya mambo mengine..huoni huo ukweli? kwa maana yako mambo ya dini ni msikitini na kanisani basi! siasa sijui ni wapi, uchumi sijui wapi..ndio una maana hiyo..? uko wapi huo muda wa kuongea mambo kwa tofauti hivyo...tumepewa akili, pima, husianisha, linganisha kisha amua! unaogopa fujo..what do you loose?
 
Watu wengi sana wanaenda jela kipuuzi mno kwa kujifanya wajuaji kumbe hawajui. Siku wanawake wa Tanzania wakiamua kuamka watu wengi sana wataenda jela kwa makosa yanayohusiana na ngono.
Kwa nini hakukataa wakati tendo linafanyika? Hilo eneo hapakuwa na Walinzi au Watu ili apige kelele? Kuna jambo halipo sawa katika hii Kesi.

Kuna wakati bahati mbaya hutokea kulingana na mkao wakati wa tendo na hali ya Wafanya tendo, ukute wote walikuwa wamelewa au kutokana na mkao ikatelezea huko..

Wanaume wengi tumefanya hili kosa iwe kwa kukusudia au bahati mbaya, lakini endapo Mhusika aliyefanyiwa atalalamika ni dhahiri kuna. kuomba msamaha na hata usiposamehewa adhabu huwa ni kuachwa na si kama alichofanya huyu Mwanafunzi..

Inawezekana huyu Mwanafunzi ni wale ambao hutumia miili yao kama Biashara na akataka alipwe pesa nyingi kutokana na tendo hilo, mzaha wa Mtuhumiwa ndiyo imefanya haya mambo yafike hapa, kulikuwa na namna nyingi sana za kuzima hiyo kashfa hata kabla haijavuja, saa hizi wote wanajuta..
 
Back
Top Bottom