YAHUSU MTAALA MPYA

YAHUSU MTAALA MPYA

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Jana usiku nilifuatilia mjadala wa Hoja yenye kichwa cha habari kinachohusu Mtaala Mpya katika Shule za Sekondari ambayo inasisitiza "Elimu Ujuzi". Nia ya mpango huu ni nzuri kabisa na nimponngezee Mhe. Rais na viongozi wote walioliona wazo hili. Wanafunzi wanatakiwa wawe na elimu ya ujuzi ili anapomaliza masomo yake akirudi huku mitaani awe na kitu cha kufanya kama useremala, ushonaji, fundi umeme, fundi magari, kilimo, ufugaji nk. Kwa mawazo yangu kwa sasa mpango huu hautafanikiwa kwa asilimia mia moja kutokana na sababu zifuatazo:-
(1) Hatuna vyuo vilivyoanzishwa kutoa watalaam wa kufundisha masomo hayo.
(2) Hatuna walimu wa kutosheleza kufundisha masomo hayo.
(3) Serikali haijajipanga kupeleka nyenzo za kujifunzia katika shule za sekondari mfano vifaa vya useremala, ushonaji nk. Kwa kifupi mtaala huu unahitaji maandalizi makubwa na inaweza kuchukua nusu nzima ya bajeti ya Serikali. Nia ni nzuri lakini mpango huu hautatekelezeka.
 
Na budget mkuu nawaza kama maabara tu zilikuwa shida ikawa ni alternative to practical najiuliza je tutaweza kweli kuwa na vitendea kazi na tool box kwa kuwa accomodate hawa wanafunzi.
 
Ni kweli, vitendea kazi hakuna huko kwenye shule. Serikali haikujipanga kabisa kwenye suala hili, walimu hawajawezeshwa vya kutosha. Yaani Kama vile kwenye uwanja wa Vita Wanajeshi Wapiganaji wamepelekewa risasi tu peke yake bila ya kuwapa bunduki za kuweza kufyatulia hizo risasi.

Work done equal to zero!
 
Subirini twende shule J3...
Ila kuna mikoa wameshatoa ratiba ya semina...
Kuwa mpole
 
Back
Top Bottom