Yahya Sinwar: Huyu Ndiye Kiongozi Mpya wa Hamas

Ataapishwa lini na wapi ili waarabu weusi wampongeze! Kiongozi kajificha kuliko panya! Kwa uwoga wa kuwaogopa wayahudi.
 
Ataapishwa lini na wapi ili waarabu weusi wampongeze! Kiongozi kajificha kuliko panya! Kwa uwoga wa kuwaogopa wayahudi.
Athubutu kutoa pua yake tuu analiwa kichwa
Ataishi kama digi digi porin tena akijua yupo kwenye pori lenye simba wakali
 
Naf
Nafikiri tayari atakuwa ameshaingia kwenye "hit list" ya Mossad.
Time will tell!
 
Naf

Nafikiri tayari atakuwa ameshaingia kwenye "hit list" ya Mossad.
Time will tell!
Defense Minister Yoav Gallant weighed in to say all Hamas leaders were walking dead men. “They are living on borrowed time,” Gallant said of the terror chiefs. “The struggle is worldwide: From gunmen in the field to those who are enjoying luxury jets while their emissaries are acting against women and children — they are destined to die.”
 
Hapo sasa maana jamaa ana ishia mapangoni kama panya buku
Mwaka 1989 alihukumiwa kifungo cha maisha kwa kuua Wayahudi 2 na Wapalestina 4. Ila alikuja kutoka jela katika utatatibu wa kubadilishana mateka kati ya pande 2.

Jamaa ni mtata sana kwenye hili eneo. Na ndiyo maana anawashikilia hao mateka Wayahudi 120 huko kwenye mahandaki alikojificha
 
Haniyer si alifiwa mke pamoja na baadhi yae watoto na wajukuu au?
Watoto 4, dada wankuzaliwa tumbo moja na ndugu wa karibu zaidi ya 60 wa Ismail Haniyeh walisha kufa kwa mashambulizi ya Israel
 
aluta continua...mpaka ushindi
 
Jina linasadifu ubaya ama dhambi ya vita hili!
SIN
WAR

Je ataendelea kuishi mafichoni kwenye mashimo mpaka lini?

Waisrael wanamtafuta kama dhahabu ya Ulyanhulu, ni most wanted vibaya sana.

Siku akijitokeza tu hata kwa bahati mbaya, Wayahudi kama mwewe, wanapita na kichwa chake kulaleki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…