akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Ataapishwa lini na wapi ili waarabu weusi wampongeze! Kiongozi kajificha kuliko panya! Kwa uwoga wa kuwaogopa wayahudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wanaita western counties mashogaBodyguard wa haniyer alikuwa anafanya nini saa 8 usiku kwenye chumba cha Haniyer ?
Athubutu kutoa pua yake tuu analiwa kichwaAtaapishwa lini na wapi ili waarabu weusi wampongeze! Kiongozi kajificha kuliko panya! Kwa uwoga wa kuwaogopa wayahudi.
Nafikiri tayari atakuwa ameshaingia kwenye "hit list" ya Mossad.MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni.
Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.
Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji ya October 7, 2023 huko Israel Kusini, na kusababisha vita ambavyo mpaka sasa Wapalestina zaidi ya 38,000 kufariki na Wayahudi wapatao 1,200 kuuliwa. Bila kusahau Watanzania 2 pia wamekufa kwenye mgogoro huo
View attachment 3063369
Defense Minister Yoav Gallant weighed in to say all Hamas leaders were walking dead men. “They are living on borrowed time,” Gallant said of the terror chiefs. “The struggle is worldwide: From gunmen in the field to those who are enjoying luxury jets while their emissaries are acting against women and children — they are destined to die.”Naf
Nafikiri tayari atakuwa ameshaingia kwenye "hit list" ya Mossad.
Time will tell!
Teh teh teh! Ila ugaidi ni shida sana.Hapo sasa maana jamaa ana ishia mapangoni kama panya buku
Haniyer si alifiwa mke pamoja na baadhi yae watoto na wajukuu au?Bodyguard wa haniyer alikuwa anafanya nini saa 8 usiku kwenye chumba cha Haniyer ?
Mwaka 1989 alihukumiwa kifungo cha maisha kwa kuua Wayahudi 2 na Wapalestina 4. Ila alikuja kutoka jela katika utatatibu wa kubadilishana mateka kati ya pande 2.Hapo sasa maana jamaa ana ishia mapangoni kama panya buku
Daaah!Watoto 4, dada wankuzaliwa tumbo moja na ndugu wa karibu zaidi ya 60
Vipi na huyu haishi kwa kujificha?Athubutu kutoa pua yake tuu analiwa kichwa
Ataishi kama digi digi porin tena akijua yupo kwenye pori lenye simba wakali
aluta continua...mpaka ushindiMODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni.
Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.
Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji ya October 7, 2023 huko Israel Kusini, na kusababisha vita ambavyo mpaka sasa Wapalestina zaidi ya 38,000 kufariki na Wayahudi wapatao 1,200 kuuliwa. Bila kusahau Watanzania 2 pia wamekufa kwenye mgogoro huo
View attachment 3063369
Unamaanisha nini kaka, kwenye image za crime scene inaonekana kitu mithili ya dildo. sijajua ile ni dildo au bastolaHalafu wanaita western counties mashoga
Kwa hiyo walikuwa wanafanya nini chumbani na bodyguard wake ?Haniyer si alifiwa mke pamoja na baadhi yae watoto na wajukuu au?
Waulize Mossad ndo waliona kila kitu.Kwa hiyo walikuwa wanafanya nini chumbani na bodyguard wake ?
Jina linasadifu ubaya ama dhambi ya vita hili!MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni.
Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar.
Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji ya October 7, 2023 huko Israel Kusini, na kusababisha vita ambavyo mpaka sasa Wapalestina zaidi ya 38,000 kufariki na Wayahudi wapatao 1,200 kuuliwa. Bila kusahau Watanzania 2 pia wamekufa kwenye mgogoro huo
View attachment 3063369
Unadhani kila mtu walai kama mlivyo nyie ?Ukute walikuwa wanapakuana na Haniya
Mossad hawahusiki na kifo cha HaniyehWaulize Mossad ndo waliona kila kitu.