Yaitishwe maandamano makubwa kuonyesha solidarity pamoja na Lissu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Maandamano hayo yaitishwe nchin nzima ambapo Watanzania wote ambao wanaunga mkono msimamo wa Lissu kupinga rasilimalinza taifa hili kunyonywa washiriki.

Mabango yaliyoandikwa No reform no election yapeperushwe nchi nzima siku hiyo ya maandamano.
 
Mjane wa lile shetani lenu la Chato. Uko busy mwenyewe.
Mbona husemi tuandamane kutaka uchunguzi wa nani alimdungua Tundu Lissu risasi 30!
Mbona huitishi maandamano tujue aliko Ben Saanane!?
 
Maandamano hayo yaitishwe nchin nzima ambapo Watanzania wote ambao wanaunga mkono msimamo wa Lissu kupinga rasilimalinza taifa hili kunyonywa washiriki.

Mabango yaliyoandikwa No reform no election yapeperushwe nchi nzima siku hiyo ya maandamano.
nonsense :pedroP:
 
Mnawaingizaga wenzenu king halafu nyie mmepumzika kwenye viyoyozi na wake zenu.
 
Marekebisho, hayo maneno mawili ya mwisho yasomeke, "waume zenu". Hakuna mlumendago mwenye mke kabisa akawa anaongea upumbavu kama huu. Aandamane nani?!!! Kwa lipi?!!! Kwa kipi?!!! Kivipi yaani?!!!!! Hiyo mke aliye huko ulaya tunamfyodoa sisi?!!! Pumbaaavu 😏
 
Back
Top Bottom