Yajayo Hayafurahishi; Mtazamo wa Isaya, Mnazareti, Mohammad, Wanautamaduni, na Wanavyuoni wa Kisasa

Umejaribu kutoa hadithi ya abuu daudi book024 ,hadithi namba 3920 ukimuelezea JUWAIRIYAH vile unavyotaka ww lakn hadithi iko wazi kabisa mateka anakuwa sehemu ya mtu alieshinda vita hiyo aiitaji tuzungumze inaeleweka juwairiyah amekuja kwa mtume anataka awe huru mtume kampa sharti kakubaliana nalo kaolewa ww unakuja kusema kabakwa hivi jamani kama kiingereza kigumu tumieni kiswahili
 
Umejaribu kutoa hadithi ya abuu daudi book024 ,hadithi namba 3920 ukimuelezea JUWAIRIYAH vile unavyotaka ww lakn hadithi iko wazi kabisa mateka anakuwa sehemu ya mtu alieshinda vita hiyo aiitaji tuzungumze inaeleweka juwairiyah amekuja kwa mtume anataka awe huru mtume kampa sharti kakubaliana nalo kaolewa ww unakuja kusema kabakwa hivi jamani kama kiingereza kigumu tumieni kiswahili
 
Umezungumzia safiyah sasa ww ulitaka kwenye vita afe mohamad ili ww ufurahi najua safiyah alikuwa myahudi ndio labda kinakuumiza roho kiufupi sijaona point yako yeyote tena mtume kafanya wema sana kumuoa mbona waisrael waliambiwa wasiache hai kiumbe chochote katika weyebusi na waamori yaani mtume kuoa watu aliwashinda vita ww unaona jambo baya ww kweli unamatatizo ebu leta hoja sio viroja narudia vita ukishinda vita mateka ni mali yako hilo ata biblia yako inakubali njoo upinge hapa
 
Ukamtaja Rayhana sijui ana miaka 14 huyo alikuwa mke wa mtu lakn mumewe alikufa sasa ulitaka aishi ivyo milele au ww unamchagulia mtu mume huyo ni mtumwa suala la kuuliwa ndugu zake ni mambo ya kivita usipoua utauliwa suala la ndoa alina tabu unacholeta ww ni wivu maana huyu nae alikuwa myahudi sasa njoo na hoja za mashiko sio unaleta utoto kana kwamba ufahamu madhara ya kushindwa vita
 
Mtiririko wa fikra na uwasilishaji wa hoja umekaa vyema sana. Ubarikiwe
 
Halaaaaa kumbe Yesu ni njia tu yakukupeleka kwa Mungu asante mwenye kusikia na asikie njia aiwezi kuwa nyumba
 


Very good, still waislam hawataki kukubali hii kitu.....kwenye vitabu vyao imeandikwa haya kuwa Mohammad alikuwa mbakaji na muuwaji, hivi kweli Mungu atukataze sie kutenda dhambi halafu atugeuke na kumwambia Mohammad aendelee kubaka na kuua tu, jamani inakuja kichwani hii? Mimi siamini kama kweli Mohammad alikuwa nabii wa kiukweli kutokana na matendo yake ya kifedheha kwa watu. Alijipa tu unabii yeye mwenyewe na askari wake kwa kuwa walikuwa dhaifu nao wakawa wanamuendekeza na kumtukuza.
 
.Kila andiko,lenye pumzi ya Mungu,lafaa kwa mafundisho,na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; 2 Timotheo 3:16.
 


Si kama napendelea upande mmoja ila hujanielewa tu. Naomba uniambie kitabu kipi kati ya hivi (Torat, Biblia, Qu'ran, Enclopaedia, History, Google Search) kinachoelezea kuwa Yesu au Moses alikuwa anaua watu na kubaka wake zao? Only Mohammad did tena kwa raha zake kwa sababu alichokuwa anafanya kila anapovamia sehemu ilibidi LAZIMA aue wanaume na kubaka wake zao, nani anabisha? Huu ni unabii kweli?
 
Kuoa mtumwa kwako ni kubaka izi elimu mnazitoa wap nyinyi ahahahahhahahahah Mungu wa kwenye biblia aliamuru chochote chenye uhai kiuliwe katika wayebusi na waamori tena mpaka mti usio wa matunda ukatwe ahahahah acheni chuki
 
Umeona ulivyo mweupe kasoma kumbukumbu la torati 20 🙁16-20) Mungu anawaamuru waisraeli wawauwe watu wamakabila ya waamori na wayebusi ebu soma wacha chuki na ishu za kuwafanya watumwa zimefafanuliwa sana sijui kwann mnazungumza vita bila kuvijua
 
Rejea .kumb la torati 20🙁16-20) kama kuna swali ntarudi badae ngoja tujenge taifa ila hoja dhaifu kama izi kwangu azina na fanasi leta vitu vya kueleweka sio wivu na chuki
 
Rejea .kumb la torati 20🙁16-20) kama kuna swali ntarudi badae ngoja tujenge taifa ila hoja dhaifu kama izi kwangu azina na fanasi leta vitu vya kueleweka sio wivu na chuki


Mkuu umesoma wasifu wa Mohammad na mauaji yake pamoja na ubakaji wake za watu? Chuki iko wapi hapa, au ulikuwa hujuwi haya? Humu JF watu tumeenda shule jamani, hatubabaishi vitu.
 


Si kosa lako, umekurupuka tu kutoka kunya kuja kudandia daladala. Huko nyuma nilisha andika kuwa hizi dini zote (Judaism, Christianity, Islam) ni za kivita, ila hapa issue ilikuwa Mohammad kwani kati ya manabii wote wa hizo dini tajwa hapo juu aliyekuwa anaua na kubaka ni Mohammad pekee. Je, ni chuki hiyo dhidi ya uislam?
 
Kuoa mtumwa kwako ni kubaka izi elimu mnazitoa wap nyinyi ahahahahhahahahah Mungu wa kwenye biblia aliamuru chochote chenye uhai kiuliwe katika wayebusi na waamori tena mpaka mti usio wa matunda ukatwe ahahahah acheni chuki

masoud mshahara usiwe mwehu wa kukariri tu vitu bila kujuwa, we si mtoto. Kwani hujasoma Hadith au hata Qu'ran tukufu? Usipende kukariri tu bila kujuwa unakariri nini, hii ni dhana potofu na imepitwa na wakati. Jaribu kufunguka kwa kupenda kusoma na uelewe unasoma nini. Mtume Mohammad alikuwa anabaka wanawake na pia alikuwa muuaji….ulikuwa hujuwi hili?
 
Uislamu taratibu zake ni kama sheria, ukiuzungumzia bila ya rejelea bado haujafanya kitu. Hebu tuletee ushahidi wa kutoka kwenye Qur'an au Hadithi tena sahihi iwe na sanadi.

Heko kwa mleta bandiko kwa uliyoyaelezea. Mungu atubariki na atupe maarifa ya kumjua zaidi.
 


Sheria ya kuua na kubaka inasemaje kwenye uislam?
 
Kuna kitu unabidi ukifahamu huyo mwanamke hakuolewa na miaka 6 kama unavyodhani Bali baba wa Huyo mwanamke alitaka kumuozesha mtume kwa hiyo miaka, Mtume akakataa akamwambia mwache akue kwanza akifikia muda wa kuolewa ndipo nitamuoa. Hakumuoa kwa huo umri kama baadhi ya watu wanavyosema.
 
Sheria ya kuua na kubaka inasemaje kwenye uislam?
Unapouhukumu uislam, uhukumu kwa misingi yake na sheria zake. Katika uislam tunafundishwa al' elm qablal qaul wal amal kwa maana uwe na elimu kabla ya kuongea kuhusu kitu/jambo husika na kabla ya kutenda jambo husika basi uwe na elimu na hilo jambo. Hiyo ni kama dibaji tu nakupa ili ujue yaliyomo.

Umeleta jambo kuhusu uislam, na misingi na sheria ya uislam inafahamika inapopatikana. Hebu tuletee ushahidi kwa hayo uliyoyaandika.
 


Ndiyo maana nimesema yakubidi usome usikariri tu vitu? Aisha aliolewa akiwa na miaka 6 ila walianza kujamiiana akiwa na miaka 9 Mohammad akiwa na miaka 54. Jiulize, wewe hapo ulipo kwa akili yako unaweza kumuoza mwanao wa miaka 6 kwa Sheikh mkuu wa Tanzania? Nyie watu vipi jamani, someni vitabu mpanue mawazo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…