Nikweli kabisa unacho kisema , Sukari ilipanda Bei wakati wa huyo mpenda sifa.Hali ya uchumi na mfumuko wa Bei vilianza kabla ya hii vita, hii vita no chaka la kujifichia.
Hali ni mbaya sana serikalini, ni muda tu mtapata majibu.
Kuna vuta nikuvute nguo ichanike.
Mama na jopo lake nchi imewashinda mapema mno.
Danida walikuwepo kabla wewe hujazaliwa, kwamba limekuwa tajiri au bado masikini unajua wewe..Hao walikuja lini kwenye taifa tajiri?
Je ?hao si kizazi beberu ?
Sipendi Kila ukiulizwa Hali za Watanzania kuwa mbaya Abt mfumuko wa Bei unatulinganisha na majirani!!!Harafu unakuta Sukuma gang wakiongea upumbavu wao huku mara ooh Tanzania kuna mfumuko wa bei mara ooh Sijui Mwigulu kafanyeje and such nonsense..
Naomba tulinganidhe wapi kuna mfumuko wa bei 👇
Unawashwa kizibo,kazibuliwe ulale ndio maana unaongea upumbavu..Sipendi Kila ukiulizwa Hali za Watanzania kuwa mbaya Abt mfumuko wa Bei unatulinganisha na majirani!!!
Nchi hii ni TAJIRI kuliko Nchi yoyote Afrika. Tatizo letu Si vita ya Ukraine, ni VIONGOZI wabovu na RUSHWA.
Watanzania tukibadili chama Cha CCM baada ya kupata KATIBA mpya Tutaona Nchi ya Ahadi itiririkayo MAZIWA na ASALI wote kbs.
Ameeeeeeeen.
Matusi ni dalili ya kuzidiwa hoja.Unawashwa kizibo,kazibuliwe ulale ndio maana unaongea upumbavu..
Tajiri kumzidi nani hasa? Tanzania ina nini cha kuizidi Angola au South Sudan kwa mfano.
WeUnawashwa kizibo,kazibuliwe ulale ndio maana unaongea upumbavu..
Tajiri kumzidi nani hasa? Tanzania ina nini cha kuizidi Angola au South Sudan kwa mfano.
Mbali na madini,We
Jamaa
KWA huo madini na rasilimali za Angola na huyo Sudan unafananisha na Tz!!?kweli!!?
Tz ni level nyingine inachuana na Congo DRC Sio hao!!
Lakini Kumbuka Hii;-
"Rasimu ya warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA"!!
Level ipi? Weka hapa top 5 za Afrika..We
Jamaa
KWA huo madini na rasilimali za Angola na huyo Sudan unafananisha na Tz!!?kweli!!?
Tz ni level nyingine inachuana na Congo DRC Sio hao!!
Lakini Kumbuka Hii;-
"Rasimu ya warioba irudi mezani Sasa iwe KATIBA MPYA"!!
Kwahiyo Unadhani kwann TANZANIA Bado inawekwa ktk kundi moja na Nchi maskini sana duniani????Level ipi? Weka hapa top 5 za Afrika..
Utaizidi nini Angola wewe? Ina mafuta kama yote,diamond kama yote,ardhi kubwa kuzidi Tanzania,mpaka mkubwa wa Bahari na maelfu ya mali zingine kama dhahabu nk..
South Sudani ndio usiseme,80% ya Ardhi yote ni arable ,full misitu na mafuta hapo hatujazumzia madini mengine..
Nimekuuliza swali hujajibu ila unauliza swali lingine..Kwahiyo Unadhani kwann TANZANIA Bado inawekwa ktk kundi moja na Nchi maskini sana duniani????
Maadui wetu Hasa ni akina nani?
Unadhani ni sahihi miaka 60 ya uhuru mtoto anakaa Kwa masala nane na zaidi shuleni bila kula chochote na hakuna anaestuka hata asipate uji? Nyerere aliwezaje?
Tunapojadili changamoto ktk Nchi yetu usitulinganishe na majirani .
Tanzania ni ALAMA ya Mungu Duniani.
Ameeeen
Unateseka sana mkuu...just let it go, mlitanua wakati wenu na sasa ni wakati wa wengine, kama vipi anzisheni chama chenu maana hamtopata tena nafasi kwenye ccm asilia...Baada ya namba moja kusema imekwisha wenye hekima waliona mbali nakujuwa kazi ipo mbele maana chuma kimelala.
Wajuvi wamambo waka angalia mwendo wa dereva na aina yagari alikuwa akiendesha wakasema jamani ee lifanyike jambo yes tutakanyaga katiba ila nibora mara mia maana hata hapo mwanzo tulisha kanyaga nakuisigina
Namba moja akiwa amesha lala muda mrefu idara zikabishana nakujifungia vyumba vya siri mwisho wakatoka walisema katiba ifuwatwe.
Wenye akili aka wanasiri wakasema uko mbele tujiandae najambo as we know the secret no one no. Je nisiri gani hiyo no one no.
Usiku Taifa likapewa Taarifa namba moja aka Mwamba wa Taifa amelala. Mwanaume alie tikisa Wizara mpaka miimili ya Taifa amelala.
Wajinga wengi wasio na data wakasema sasa maisha yatanoga na ili walambe utamu wa asali vizuri wakasema kumuuwa nyani mpe majina mabaya Mwamba wa Taifa akasakamwa kila kona ya Taifa yakwamba alikuwa mbaya na katili mtu ambaye hakufaa kuongoza Taifa.
Mmmm watu wanao ona kesho wakasema je haya majamaa yanajuwa yanachokisema? Wakapiga kimya nakusema wakati ni mwalim mzuri...ili wauwa nyani kupata wafuwasi wakatafuta watu wengi walikutana na rungu la Mzee.
Wakarudishwa ndani...
Ktk siku za mwisho kabisa ambapo wengi tuna amini ndio ulikuwa mwisho wakusikia dhihaka na kejeli nipale kijana mmoja alie wahi tuaminisha ndie walimtetea namba moja ila akavuna mabuwa asijuwe alikuwa ktk kikaango kupewa nafasi nyeti na mwamba alisema ktk kikao kimoja Mungu ameamua ugomvi wake na mzee mmoja akimanisha mwamba kuondoka imekuwa nafasi yake kipumua nakurud ktk wizara aliporwa mchana.
Mmmmm ndipo inasemekana mmmm inasemekana wana nguo nyeusi na macho meusi wakatoa stop yakutajwa kwa mwamba mm mmm toka hapo mwamba hatajwi na kila walicho kifanya kinyume na mwamba wanakirudisha kimya kimya.
Zipo tetesi nasema tetesi idara nyeti za mataifa ya magharobi kuna maamuzi hawakupenda ktk maswala ya usalama. Nauwenda yametuacha ktk kiza kinene.
Kupanda kwa hali ya maisha na vyakula kupaa huku wese likituacha tumelowa nimoja ya mambo yatakinukisha mbeleni.
Maelfu ya ajira nakupandisha mishahara pasipo kuangalia nakishi ya mampato nimoja nya mambo siku za mbeleni yatamuweka bench yule jamaa wa singida. Zipo tetesi wana uchumi na economic intelligence unity walitoa maoni yao ila hayakuwa consider so kama itathibitika basi mtu atakalia kuti kavu.
Ndugu zangu sisemi kwa ushabiki ila makosa makubwa yameshafanyika kwa sasa tutake tusitake kazi ya genius usije kuibeza kwa simple words Mwamba Mungu amlaze mahali pema peponi siku za mbeleni hotuba zake na siku yakifo chake zinakusisha hasi na chanya za Taifa. Sasa wa Tz wanajuwa zaid nia ya Mwamba na wanajuta kwa mawazo yao juu yake. Maisha hayatokuwa rahis kama tunavyo waza kupanda kwa bei ya nishati, mfumuko wa bei wa bidhaa adimu hasa chakula na hali ya siasa za kimataifa nimoja ya mambo yatakuwa mwiba mchungu kwa serikali na wa Tz.
Mwez wa kumi na mbili Marekani wameyatega Mataifa ya Africa na kama hamjuwi basi nibora mjuwe Marekani anatoa ma bilion ya pesa kwenye Afya na elim kwa africa. Ila kwa taarifa zisizo Rasmi Marekani wamekusudia kupunguza misaada kuanzia mwakani kwa mataifa yana support serikali za kiimla na
Tulipopata uhuru tulikuwa na matatizo makuu 4 tuliyokuwa tukipambania kama Nchi,Nimekuuliza swali hujajibu ila unauliza swali lingine..
Inawekwa kwenye kundi la maskini Kwa sababu Tzn imejaa wajinga kama wewe wasio na akili za kukuza Uchumi wao badala yake wanalaumu serikalini.
Tulipopata uhuru tulikuwa na matatizo makuu 4 tuliyokuwa tukipambania kama Nchi,Nimekuuliza swali hujajibu ila unauliza swali lingine..
Inawekwa kwenye kundi la maskini Kwa sababu Tzn imejaa wajinga kama wewe wasio na akili za kukuza Uchumi wao badala yake wanalaumu serikalini.
Kuna kikundi kidogo kimeteka CCM halisi,Unateseka sana mkuu...just let it go, mlitanua wakati wenu na sasa ni wakati wa wengine, kama vipi anzisheni chama chenu maana hamtopata tena nafasi kwenye ccm asilia...
By the way, hatujasahau ulivyomtishia maisha Ben Saanane na kweli akapotea baada ya siku chache mpaka leo habari zake hazijulikani...
Narudia, Tanzania ni TAJIRI kuliko Angola, South Sudan au Nchi yoyote Africa.Unawashwa kizibo,kazibuliwe ulale ndio maana unaongea upumbavu..
Tajiri kumzidi nani hasa? Tanzania ina nini cha kuizidi Angola au South Sudan kwa mfano.