Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

Kama hujui kaa kimya usipotoshe mtu
Ninayajua hayo htofautiana kutokana na ardhi.kwa mfano ambayo huota kwenye na bustani za mbogamboga zinazopigwa dawa huwa si yakijani kama hayo na hayakui kurefuka hadi kutoa hayo ma mbegu music yanayo nasal kwenye nguo ukioita karibu.

Yanayo ota kwenye maeneo yasiyo na mbolea na dawa za kuulia wadudu huwa ya kijani iliyokoza na huwa makubwa hadi kutoa mbegu
 
Huo sio mlenda kweli?
 
Mkuu ndiyo hayo hayo ...sema yakiwa bado hayajakomaa ndio huwa chakula cha sungura yakishakomaa yanatoa vimbegu fulani vinashika nguo..sie tunaita
Ndasana kwa kijita
Nilileta picha hapa, mwingine alisema ndio ,mwingine alikataa nikaona niachane na hiyo tiba maana waanichanganya kila mmoja aaongea lake
 
Nilileta picha hapa, mwingine alisema ndio ,mwingine alikataa nikaona niachane na hiyo tiba maana waanichanganya kila mmoja aaongea lake
Ni majani ya aina moja utofauti upo katika ukuaji wake.

Yakiwa hayajaanza kutoa mbegu nitofauti yakiwa na mbegu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…