Jana ilikuwa siku ya 44 niliwapeleka hospital kwa chanjo ya kwanza ya mtoto. Tunabembeleza tu mtoto analia siku nzima na kulalamaMungu mwema wakati sahihi ni wakati wa ktk maisha hakuna kuwahi wala kuchelewa huo ndo mda wenu ulikua wa kupata mtoto kaka
Muambia akilazimisha kazi ataumwa mgongo akae apumzike mda mrefu walau hata zile 40days consecutively!
Na je tumbo lilipungua lenyewe tu dear? Why hukukandwa uliogopa? Ama ulishauriwa hospital?Binafsi sijawahi kukandwa na nipo poa tu. Nzao mbili nilijifungua kwa kawaida na sijawahi kukandwa kabisa. Placenta ikitoka basi. Damu nyingine itaondoka ki asili tu.
Hahaha wanawake wenye vitambi sugu wataenda kujikanda na maji ya moto viishe. Nafikiri wanasema maji ya moto yanaondoa uchafu tumboni mapema na joto hupasua mwili humfanya mwanamke apungue kidogo
Yaliyochemka kabisa?? Si kuuana huko na huu uoga sijuiππ afu ni lazima akukande mtu either mama au mamkwe, sisiter ? Why huwezi mwenyewe maji ya moto anikande mwingine nahisi kukimbiaπ€Hahaha wanawake wenye vitambi sugu wataenda kujikanda na maji ya moto viishe. Nafikiri wanasema maji ya moto yanaondoa uchafu tumboni mapema na joto hupasua mwili humfanya mwanamke apungue kidogo
Yale yanayochemka hasa. Ila sikushauri, kwa kweli umenifurahisha sana
Issue yangu ni kitambiπ kinaisha ukikanda amaHahaha wanawake wenye vitambi sugu wataenda kujikanda na maji ya moto viishe. Nafikiri wanasema maji ya moto yanaondoa uchafu tumboni mapema na joto hupasua mwili humfanya mwanamke apungue kidogo
Yale yanayochemka hasa. Ila sikushauri, kwa kweli umenifurahisha sana
Kitambi kitabaki vile vile we fanya uoneIssue yangu ni kitambiπ kinaisha ukikanda ama
Tumbo nililifunga. Pamoja na mazoezi. Wala sikuogopa. Sioni sababu ya kukandwa.Na je tumbo lilipungua lenyewe tu dear? Why hukukandwa uliogopa? Ama ulishauriwa hospital?
tumbo linakuwa flat mum(njoo Pm nikuonyeshe kapicha kangu)π.
Aisee nakuja unipe maujanja dear, siku nikifikia huko nataka kuwa na flat tummy ππ sitaki kitambi kama kuna mtoto mwingine kabakia tumboni vileπββοΈtumbo linakuwa flat mum(njoo Pm nikuonyeshe kapicha kangu)π.
Lakini pia,sio kwamba yanakua maji makali kama wengine wanavyo tafsiri,hapana.
Ahaaa thank you for sharing, nadhani hii njia ni nzuri maana maji ya moto si mchezo. Na tumbo lako limerudi kawaida tu sawa na waliokandwa?Tumbo nililifunga. Pamoja na mazoezi. Wala sikuogopa. Sioni sababu ya kukandwa.
Ni kweli,hta mm watoto wa3 sijawah kandwa na nipo vizur tu....Binafsi sijawahi kukandwa na nipo poa tu. Nzao mbili nilijifungua kwa kawaida na sijawahi kukandwa kabisa. Placenta ikitoka basi. Damu nyingine itaondoka ki asili tu.
πππAisee nakuja unipe maujanja dear, siku nikifikia huko nataka kuwa na flat tummy ππ sitaki kitambi kama kuna mtoto mwingine kabakia tumboni vileπββοΈ
Siku hizo hawakandi na maji moto kwa huku mjini wanachoma sindano ila kwa sisi tunaozaa na kuangaliwa uzazi na wakoloni[emoji3][emoji3][emoji3]niliwaambia jamani dokta kasema msinitia maji moto weee...nilichambwa Mimi ,nikala za USO [emoji23][emoji23][emoji23]na mimaji kama kawaa...!!!
Daaah!wajua mpk siku. Mungu akuze katoto ketu kwa kweli!Jana ilikuwa siku ya 44 niliwapeleka hospital kwa chanjo ya kwanza ya mtoto. Tunabembeleza tu mtoto analia siku nzima na kulalama
Na mimi nilifikiri kama Mungu hajapanga jambo, hata ufanye nini ni sawa na bure. Hii ni zawadi kutoka kwa Mungu, na sasa hivi nimetua mambo mengi mno. Nimepata zawadi hii mda sahihi. .