Yanaisha siku chache tu...haswa ukijifungua salama kama Mimi yaani nasema Mungu ahsante sana kwa baraka zake...
Halafu uzazi usiwe mbishi sikiliza wakubea mimi mwanangu wa kwanza nilikua mkoani naanza kazi baasi wale wamama walinilea km mtoto wao then nilikua nasikiliza sana wanayonambia,yaani I was very submissive kwao!kuna zile Mara usishike tamaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]sio vzr,mazoezi ya kutanua uke[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Mr alikua mkoa mwingine,usinywe maji umesimama,Mara usikae katikati ya mlango..yaani ni viiingi mnoo tunaambiwa na Mimi nilifata yaani nilikua mjinga!baasi ikatoka siku moja mwanangu hakucheza tumboni nikapagawa nikamfata mpangaji mwenzangu anaita mama Rahma,nkamuambia"mama Rahma mwanangu hachezi Leo"huku akili haiko sawa, akanambia "simama"," ruka ruka"dkk nyingi akaanza kupitwa tumboni!akanambia "alikua kalala huyoo!asingepitwa au angekua anaenda mzima mzima lingekua tatizo"[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]so ukiwa mjamzito bwana haswa ukikaa na wahenga mambo yanakua mengi sana muhimu usibishane nao na kama hutaki itikia then kaa kimya!
Ila watoto wana raha yake