Tumbo wengine wanafunga kanga...Mimi uzembe unachangia sifungagi tumbo baasi nna kitambi kwa ubishi ila ukifunga vzr tumbo linarudi flaaat!Na je tumbo lilipungua lenyewe tu dear? Why hukukandwa uliogopa? Ama ulishauriwa hospital?
Wee...Yale maji sio kabisa huwezi jikanda mwenyewe ya moto haswaa...ila kuanzia 2005 kuja juu mambo yamechange watu hawakwandwi wanachoma sindano....!!!wachache kama sisi tunaolelewa kizamani tukizaa bado inaendelea mpk naogopa[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Yaliyochemka kabisa?? Si kuuana huko na huu uoga sijui[emoji23][emoji23] afu ni lazima akukande mtu either mama au mamkwe, sisiter ? Why huwezi mwenyewe maji ya moto anikande mwingine nahisi kukimbia[emoji2960]
Funga kaka!kitaisha kwa nguvu haswaa!!!ukipata mimba uje uwe mwari wangu[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Issue yangu ni kitambi[emoji23] kinaisha ukikanda ama
Tumbo lipo vizuri tu. Tumbo linakuwa kubwa kutokana na kula hovyo hovyo bila mazoezi. Kama ukilifunga,unakula balanced diet na unanyonyesha. Kamwe tumbo haliwi kubwa.Ahaaa thank you for sharing, nadhani hii njia ni nzuri maana maji ya moto si mchezo. Na tumbo lako limerudi kawaida tu sawa na waliokandwa?
Ahsante dear, basi kiukweli tukizingatia hili haina haja ya maji ya moto🙂 na unakua fresh tu.Tumbo lipo vizuri tu. Tumbo linakuwa kubwa kutokana na kula hovyo hovyo bila mazoezi. Kama ukilifunga,unakula balanced diet na unanyonyesha. Kamwe tumbo haliwi kubwa.
Hakika ile 1st trimester tu nishakua mgeni wako, unifundee😂😂Funga kaka!kitaisha kwa nguvu haswaa!!!ukipata mimba uje uwe mwari wangu[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
Kitambi kuondoka ni muhimu sana mkuu, naonaga wengine matumbo yanabakia kama kuna mtoto mwingine aliachwa humo ndani aah😂Aisee bila shaka financial services umeelewa sasa, japo bado utataka kujua ikiwa maji moto yanaondoa kitambi [emoji23][emoji23][emoji4].
😂 kama maji kama ya kunyolea kuku yale duh, hauchubuki😪 mbona naskia kutetemeka.Siku hizo hawakandi na maji moto kwa huku mjini wanachoma sindano ila kwa sisi tunaozaa na kuangaliwa uzazi na wakoloni[emoji3][emoji3][emoji3]niliwaambia jamani dokta kasema msinitia maji moto weee...nilichambwa Mimi ,nikala za USO [emoji23][emoji23][emoji23]na mimaji kama kawaa...!!!
Mi kwa mtazamo wangu wanaotaka sindano wachomwe na wa maji wachomwe maji...mimaji ya moto haswaa kama ya kunyolea kuku@finacial service
Dogo Mungu fundi sanaa ukizaa kwa njia ya kawaida baada ya mda K inarudi kama ilivyo Fanya tu Kgel mazoezi ili irudi haraka...!!!!kiukweli naomba tu wanangu watatu wajao nizae salama sitamani kisu Mimi!!
You're such a responsible father, safi sana hapo mama na mtoto washindwe wao tu kunenepa siyo kwa kuwajali huko🥰.Jana ilikuwa siku ya 44 niliwapeleka hospital kwa chanjo ya kwanza ya mtoto. Tunabembeleza tu mtoto analia siku nzima na kulalama
Na mimi nilifikiri kama Mungu hajapanga jambo, hata ufanye nini ni sawa na bure. Hii ni zawadi kutoka kwa Mungu, na sasa hivi nimetua mambo mengi mno. Nimepata zawadi hii mda sahihi. .
I have been looking for having my own child for quite sometime now. Jana kuna jirani alikuja nitembelea nyumbani kwangu, akawa anashangaa mbona mkeo yuko kama hayuko kwenye uzazi. Uzazi umempenda sana wengine wanaharibika mpaka sura yeye ndo ana glow. .You're such a responsible father, safi sana hapo mama na mtoto washindwe wao tu kunenepa siyo kwa kuwajali huko🥰.
Je ni kweli baba anapenda mtoto wa kike zaidi?, je mkeo angepata baby boy hizo cares zingekua kama sahivi mkuu? Sorry to ask that
Hakika Mungu ni mwema, pole kwa mapito yote mliyopitia, na hongereni kwa kupata hiyo baraka. Mungu aendelee kuwakuzia binti yenu. Na mkapate na wengine salama.👏I have been looking for having my own child for quite sometime now. Jana kuna jirani alikuja nitembelea nyumbani kwangu, akawa anashangaa mbona mkeo yuko kama hayuko kwenye uzazi. Uzazi umempenda sana wengine wanaharibika mpaka sura yeye ndo ana glow. .
Last year we had a pregnancy which ended in miscarriage. This year she got pregnant again, but she was given bed rest since the beginning of pregnancy. The baby played too much (over active), she also was bleeding all through her pregnancy. True, nina bahati kuitwa baba. Ukiwa na watoto wengi unaweza kuchagua, but when your chances are limited, unawapenda wote tena sana sana sana. Awe wa kiume au wa kike wote ningefurah, sio kazi ndogo kupata watoto acheni tu. .
Kuna dada mmoja nilikutana nae hospital wote wameenda kufanyiwa c section na wife. Mimi nikapew taarifa nimepata mtoto wa kike na yeye akapewa taarifa mtoto kafariki tumboni. Acha tu kuna mda unaweza pata uchungu yani akisikia mtoto analia na yeye analia tu na mwanae ndo hivyo tena na bado ana majeraha ya c section na hapo mpaka kupata mimba nyingine inatakiwa at least two years, Kuna watu wana changamoto sana. .Hakika Mungu ni mwema, pole kwa mapito yote mliyopitia, na hongereni kwa kupata hiyo baraka. Mungu aendelee kuwakuzia binti yenu. Na mkapate na wengine salama.👏
Uzazi siku hizi ni shida kiasi ukibahatika kupata watoto ni kumshukuru Mungu tu.
Dah inaumiza una kidonda na mtoto hayupo😪, i can't even imagine how it pains, ila hatuna budi kushukuru kwa kila jambo, Mungu hutupa kwa wakati wake sahihi.Kuna dada mmoja nilikutana nae hospital wote wameenda kufanyiwa c section na wife. Mimi nikapew taarifa nimepata mtoto wa kike na yeye akapewa taarifa mtoto kafariki tumboni. Acha tu kuna mda unaweza pata uchungu yani akisikia mtoto analia na yeye analia tu na mwanae ndo hivyo tena na bado ana majeraha ya c section na hapo mpaka kupata mimba nyingine inatakiwa at least two years, Kuna watu wana changamoto sana. .
Unakuta mtu analalamika ana mashida kumbe ndo anajitia laana za shida. Kuna watu wanapitia mapito mpaka unaona why are they still fighting to stay alive, hawana hata sababu ya kupumua ...
Wanawake mnapitia mambo mengi sana. Ukiona mwanamke katoka uzazi salama basi kama mkristu akaombewe misa, kama musilam akaiziniwe. Jambo la kushukuru. .Dah inaumiza una kidonda na mtoto hayupo😪, i can't even imagine how it pains, ila hatuna budi kushukuru kwa kila jambo, Mungu hutupa kwa wakati wake sahihi.
Mwili mzima Dada unakandwa hapo tumboni ndo sanaa!aunt yangu Mimi anakurushia tambara la moto yeye mwenyewe mikononi yanamuuma...[emoji23] kama maji kama ya kunyolea kuku yale duh, hauchubuki[emoji25] mbona naskia kutetemeka.
Hivi kinachokandwa haswa ni nini tumbo au uke? Au mwili mzima tu?
Mungu akubariki kaka. .mpk nimependa ulivoandika!Mungu akupe furaha wewe na mkeo..poleni kwa miscarriage pia!naimani wa pili,wa3,wa4 mpk wa5 watakaa sawa tu kwa uwezo wa Mungu!I have been looking for having my own child for quite sometime now. Jana kuna jirani alikuja nitembelea nyumbani kwangu, akawa anashangaa mbona mkeo yuko kama hayuko kwenye uzazi. Uzazi umempenda sana wengine wanaharibika mpaka sura yeye ndo ana glow. .
Last year we had a pregnancy which ended in miscarriage. This year she got pregnant again, but she was given bed rest since the beginning of pregnancy. The baby played too much (over active), she also was bleeding all through her pregnancy. True, nina bahati kuitwa baba. Ukiwa na watoto wengi unaweza kuchagua, but when your chances are limited, unawapenda wote tena sana sana sana. Awe wa kiume au wa kike wote ningefurah, sio kazi ndogo kupata watoto acheni tu. .
Acha kabisa uzazi ni mtihani nyie miye mpk naogopa kuzaa maana Mimi uzazi wangu kama paka uchungu mtoto...na mimba nashukuru pia sina tatizo ktk kupata..ukiona mtu kajifungua salama shukuru sana Mungu!Hakika Mungu ni mwema, pole kwa mapito yote mliyopitia, na hongereni kwa kupata hiyo baraka. Mungu aendelee kuwakuzia binti yenu. Na mkapate na wengine salama.[emoji122]
Uzazi siku hizi ni shida kiasi ukibahatika kupata watoto ni kumshukuru Mungu tu.
Even my friend ilimkuta yeye kakosa mtoto na kizazi katolewa pia!Kuna dada mmoja nilikutana nae hospital wote wameenda kufanyiwa c section na wife. Mimi nikapew taarifa nimepata mtoto wa kike na yeye akapewa taarifa mtoto kafariki tumboni. Acha tu kuna mda unaweza pata uchungu yani akisikia mtoto analia na yeye analia tu na mwanae ndo hivyo tena na bado ana majeraha ya c section na hapo mpaka kupata mimba nyingine inatakiwa at least two years, Kuna watu wana changamoto sana. .
Unakuta mtu analalamika ana mashida kumbe ndo anajitia laana za shida. Kuna watu wanapitia mapito mpaka unaona why are they still fighting to stay alive, hawana hata sababu ya kupumua ...
Hilo tambara la aunt mimi hoi😂😂 yeye mwenyewe linamuunguza mikono ndiyo anitupie dah, sijui kama sijamkimbia huyo aunt na maji yake😂,Mwili mzima Dada unakandwa hapo tumboni ndo sanaa!aunt yangu Mimi anakurushia tambara la moto yeye mwenyewe mikononi yanamuuma...
Hua wanayapoza kidogo sana..
Hapa naongea na nesi Dada angu namuulizia haya mambo ya maji ya moto, ananiambia kua hayana impact sana maji ya moto japo ni mazuri kulainisha viungo na mwili unakua mwepesi na kikubwa ni kua ukioga maji ya moto damu inatoka sana kwa wingi kwa kua mwili unakua mwepesi.
Usitetemeke ndo ukubwa huo kawaida sana..tena kuzaa kawaida kuna raha sanaa!
Acha tambara la mtandio mwepesi[emoji16][emoji16][emoji16]unakandwa nalo mwili mzima hapo tumboni analikusanya anakubandika,Mimi naliaaaa.... Mda wa kuoga ukifika tu naanza kulia.. Hukimbii unavumilia tu Dada maana ukubwa umekukuta..Hilo tambara la aunt mimi hoi[emoji23][emoji23] yeye mwenyewe linamuunguza mikono ndiyo anitupie dah, sijui kama sijamkimbia huyo aunt na maji yake[emoji23],
so conclusion ni kwamba maji ya kukandwa yanasaidia ila pia si lazima unaweza fanya mazoezi tu?