financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Aisee ahsante kwa kushare nasi dear, kweli ukubwa dawa, sitokua na budi kuvumilia tu yatapita. Ila ile furaha ya kumuona mwanangu nadhani hayo yote yanaweza kuvumilika tu. I can't wait to meet my own baby ile feeling yake for the first time aah😍😍. Mungu tujalie uzao mwema.Acha tambara la mtandio mwepesi[emoji16][emoji16][emoji16]unakandwa nalo mwili mzima hapo tumboni analikusanya anakubandika,Mimi naliaaaa.... Mda wa kuoga ukifika tu naanza kulia.. Hukimbii unavumilia tu Dada maana ukubwa umekukuta..
Yanasaidia kiasi maji moto lakini kupunguza tumbo ukijifunga jitahidi kulifunga na kanga vzr dada
Amina. .Mungu akubariki kaka. .mpk nimependa ulivoandika!Mungu akupe furaha wewe na mkeo..poleni kwa miscarriage pia!naimani wa pili,wa3,wa4 mpk wa5 watakaa sawa tu kwa uwezo wa Mungu!
Leo nimepata taarifa pia kuna ndugu yangu binamu mkewe kajifungua kwa operationEven my friend ilimkuta yeye kakosa mtoto na kizazi katolewa pia!
Inasikitisha sana..Uzazi unauma sana
Muulize mzazi wako wa kike baada ya kujifungua wewe kama alikandwa maji au la.Kukanda mzazi kwa maji ya moto ni utahira kama ule utahira wa Bwana Chato wa kuweka mashine ya kujifukizia pale Muhimbili.
Mzazi wangu kukandwa kwa maji haihalalishi wala haifanyi kuwa kukandwa kwa maji ni jambo sahihi na lisilokuwa na madhara.Muulize mzazi wako wa kike baada ya kujifungua wewe kama alikandwa maji au la.
Mengine hayahitaji maneno makali kwa wazazi wako. Tumia busara na majibu yasiyoumiza hisia za watu.
Yanaisha siku chache tu...haswa ukijifungua salama kama Mimi yaani nasema Mungu ahsante sana kwa baraka zake...Aisee ahsante kwa kushare nasi dear, kweli ukubwa dawa, sitokua na budi kuvumilia tu yatapita. Ila ile furaha ya kumuona mwanangu nadhani hayo yote yanaweza kuvumilika tu. I can't wait to meet my own baby ile feeling yake for the first time aah[emoji7][emoji7]. Mungu tujalie uzao mwema.
Poleni sana kaka!Mungu awape nguvuLeo nimepata taarifa pia kuna ndugu yangu binamu mkewe kajifungua kwa operation
Pia mkwewe shangazi yangu bibi miaka mia na zaidi kafarik pneumonia
But this is the most horrible news na kizazi wakato. Mungu amfanyie wepesi, so sad. .
Kama kuna madhara au hakuna sio busara kuwaambia watu ni utahira . Wakati ndio njia za asili zilizotumika tangu enzi hizo na wazazi wetu waliishi bila kansa ya shingo ya kizazi wala nini.Mzazi wangu kukandwa kwa maji haihalalishi wala haifanyi kuwa kukandwa kwa maji ni jambo sahihi na lisilokuwa na madhara.
Wow ntawasikiliza wahenga pia, wanayajua mengi kuliko, thank you dear😍 hivi sahivi ukimuona mwanao how do you feel? Mtoto wa tumbo lako mwenyewe aisee raha.😍Yanaisha siku chache tu...haswa ukijifungua salama kama Mimi yaani nasema Mungu ahsante sana kwa baraka zake...
Halafu uzazi usiwe mbishi sikiliza wakubea mimi mwanangu wa kwanza nilikua mkoani naanza kazi baasi wale wamama walinilea km mtoto wao then nilikua nasikiliza sana wanayonambia,yaani I was very submissive kwao!kuna zile Mara usishike tamaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]sio vzr,mazoezi ya kutanua uke[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Mr alikua mkoa mwingine,usinywe maji umesimama,Mara usikae katikati ya mlango..yaani ni viiingi mnoo tunaambiwa na Mimi nilifata yaani nilikua mjinga!baasi ikatoka siku moja mwanangu hakucheza tumboni nikapagawa nikamfata mpangaji mwenzangu anaita mama Rahma,nkamuambia"mama Rahma mwanangu hachezi Leo"huku akili haiko sawa, akanambia "simama"," ruka ruka"dkk nyingi akaanza kupitwa tumboni!akanambia "alikua kalala huyoo!asingepitwa au angekua anaenda mzima mzima lingekua tatizo"[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]so ukiwa mjamzito bwana haswa ukikaa na wahenga mambo yanakua mengi sana muhimu usibishane nao na kama hutaki itikia then kaa kimya!
Ila watoto wana raha yake
Njia hizo za asili kutumika tokea enzi hizo haihalalishi wala haithibitishi kuwa ni njia sahihi na bora.Hata ukeketaji pia upo tokea enzi hizo.Kama kuna madhara au hakuna sio busara kuwaambia watu ni utahira . Wakati ndio njia za asili zilizotumika tangu enzi hizo na wazazi wetu waliishi bila kansa ya shingo ya kizazi wala nini.
Kijani haiwezi kuwa nyekundu na nyekundu haiwezi kuwa kijani.Kijani ni kijani tu na nyekundu ni nyekundu tu.Huwezi kubadili kijani kuwa nyekundu.Kama mtu anafanya mambo ya utahira huyo ni tahira tu hatuwezi kubadili utahira kuwa ustaarabu kwa kutumia mgongo wa lugha ya kiungwana.Ila hizo njia zenu kizazi cha white man [emoji2579]wamama wanateseka sana. Hivyo amini njia za kisasa wewe ila ukitaka wengine watumie usiwadhihaki waelewesha tu kwa lugha ya kiungwana utaeleweka.
[emoji23][emoji23][emoji23]nowadays naona kawaida sana!mwanzo nilikua naona rahaa!the first days vile kuita mom!!weee acha kabisa!![emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]utazoea tu kuitwa mom!!!Wow ntawasikiliza wahenga pia, wanayajua mengi kuliko, thank you dear[emoji7] hivi sahivi ukimuona mwanao how do you feel? Mtoto wa tumbo lako mwenyewe aisee raha.[emoji7]
Huku mjini wanatushangaa wachaga hatutoki nje hata vikoba tu hatuendi. Wanatuita utumbo.Huku Dar siku 40 mwanamke anaenda kwa bwana. Ndo mana waswahili wanazaa kama kuku
Kilimanjaro mwanamke anakaa ndani miezi mitatu marufuku kwenda kwa bwana, Huku anahudumiwa kila kitu. Sema waswahili wanadai mwanamke akikaa ndani anatoka kama puto.
Mie nimeoa mswahili, mwanangu kazaliwa 29 september mwaka huu. Yani week moja tu anaona yuko kifungoni hahahah