Comment ya kipuuzi.
Gari la kwanza lilinunuliwa na Serikali ya Uingereza, tulipewa. Magari mawili yalinunuliwana Ujerumani. Na magari hayo yalitumika kupokelea wageni, siyo kutembelea yeye mikoani au vijijini.
Ikimbukwe pia wakati huo mataifa na makampuni yaliyokuwa yanatengeneza magari yalikuwa ni machache sana.
Miaka mpaka ya late 1970s ukizungumzia gari, zaidi ilikuwa ni kutoka Ujerumani (Benz), Uingereza (landrover), Italy (Fiat) na USA.(Ford).
Mwalimu safari zake mikoani, mpaka mwishoni mwa uongozi wake alikuwa akipenda kutumia landrover defender.