Yajue magari 6 ya kifahari yaliyotumiwa na Mwalimu Nyerere

Ni wachache watakuelewa, usichoke kuwaelimisha.
 
Nyerere alipenda anasa wakati wananchi tulikua tukiogelea kwenye ufukara wa kutisha aliotuletea.
Hahahaha.. ....Mwalimu alikuwa kiboko sana. Alituaminisha wananchi hadi huko vijijini kuwa wazungu ni watu wabaya na wanyonyaji ambao hatutakiwi kuwa na mazoea nao hata kidogo, kumbe yeye mjini anakutana na akina Richard Turnbull, Ulaya na Marekani anaenda kila wakati..
Vijana mijini na vijijini ni kukanyaga mgambo kila kukicha na Bunduki za mbao. Daah! Huku akijua huko ng'ambo watu wanachezea atomic bombs. Aiseee?!
 
Jenga hoja kuliko kunishambulia, usiingie kwenye mijadala kama huwezi kucontrol mihemuko yako.
hujui hata kushambuliwa au kushambuliwa kwa hoja uliyoileta.

nimekwambia tabia yako ni ya kijinga sio wewe ndiye mjinga,inawezekana kabisa unafanya makusudi kama ulivyofanya ujinga na hapa pia.
 
Nyerere alipenda anasa wakati wananchi tulikua tukiogelea kwenye ufukara wa kutisha aliotuletea.
Magari yote yanayosemwa ya kifahari aliyotumia Mwalimu yaliletwa Nchini kwa ajili ya kutumiwa na Gavana au magavana waliohudumia Tanganyika kabla ya Uhuru !! Mwalimu hakuwahi kununua gari la anasa akiwa Rais zaidi ya Benz tena zile za kizamani. !! Msimsingizie Baba wa Taifa R.I.P
 
Kabisa !!
 
Kwa
 
Kiongozi lazma uwe flexible. Km mama
 
Ujamaa ni mfumo wa ubinafsi wa watawala kuwafanya watu wawe masikini Ili waweze kuwatawala.
Ujamaa ni mpango wa shetani, mfumo ambao Mungu anautambua ni ubepari. Soma kisa cha talanta
 
Hivo vilikuwa vichache kulingana na uhitaji wa kipindi kile, uhitaji ungeongezeka wangeviongeza hapa hakuna hoja
 
Nyerere the great!

Magufuli the greatest!
Magufuri alifanya nini pumbavu ,yeye amekuta kila kitu,pesa kazikuta maskini ya Mungu,barabara kazikuta,wasomi kawakuta,watumishi wa serikali kawakuta,uhuru kaukuta,kila kitu kakikuta lakini nasikitika kwamba badala ya kuendeleza akawa mbomoaji wa Umoja na Mshikamano na kuleta ufukara Tanzania.
 
Watu hawataki Historia ndiyo maana wanamwona Nyerere kama Magufuri na Samiah tu.
 
Uzuri hayo magari aliyanunua yakawa ya serikali.Tanzania ya leo tunasikia serikali inanunua Ma v8 kila mwaka but wanaishia kuuziana wao kwa wao kwa bei sawa na bure.
Labda hao wanaosema Nyerere alituletea umaskini watueleze kabla ya Nyerere hali ilikuwaje! Tulikuwa matajiri sana? Kielimu tulikuwaje?
 
Hisia zikikuisha tumia akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…