Yajue magari 6 ya kifahari yaliyotumiwa na Mwalimu Nyerere

Ukweli mtupu
 
Ujamaa ni mfumo wa ubinafsi wa watawala kuwafanya watu wawe masikini Ili waweze kuwatawala.
Ujamaa ni mpango wa shetani, mfumo ambao Mungu anautambua ni ubepari. Soma kisa cha talanta
Sahihi
 
Nyerere alikuwa anakunywa Scotch Whisky wakati sisi tulikuwa tunashindia Gongo, na alikuwa anafurahi kutuona Watanzania tukiwa Mafukara wa kutisha.
Sasa kama kawekewa Ikulu ulitaka azinywe nani hizo scotch whiskey? 🤣 Au ulitaka awagawie raia wote chupa aliowekewa ki protocol kabisa.

Mkumbuke hii nchi ilikuwa ya muingereza!!!
 
Chukua uza Moja toka nduki
 
Sasa kama kawekewa Ikulu ulitaka azinywe nani hizo scotch whiskey? 🤣 Au ulitaka awagawie raia wote chupa aliowekewa ki protocol kabisa.

Mkumbuke hii nchi ilikuwa ya muingereza!!!
Mbona Makongoro tulikuwa tunakesha naye kwa Mama muuza.
 
Fikiria miaka hii wangeendelea na utaratibu wa Rolls royce phantom.
Muwe mnatembelea basi hata makumbusho ya taifa kujielimisha, hiyo roll Royce hatukununua hata hio Austin
 
Vipi ile Cruiser iliyopo .Mwitongo si ingejumuishwa kwenye hiyo familia?
 
Mzee alikula vitamu halafu alipoanza kuzeeka akawafungia watu kwenye ujamaa na kujitegemea mpaka leo watu hawajaweza kujinasua kwenye mtego huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…