Yajue magari makubwa zaidi duniani

Hivi haya majigari yakikukanyaga tumboni unapona?
 
Mkuu, ebu acha kudanganya watu hapa.
Mgodi wa Buly hakuna mashine hizi sababu ni Underground Mine , na nyingi zinatumika kwenye migodi ilio anza na Open Pit Mine
Ungekuwa umewahi kufanya kazi kule udingebisha.
Kampuni tanzu ya Caspian ambayo ina tenda nyingi kule mgodini wanazo hizo mashine.
Hasa hutumia kubebea heavy pit kwaajili ya kujengea mabwawa ya maji yenye sumu ya sydine
Takutumia picha zangu nilizopiga nikiwa na hiyo mi convoy ikiwezekana
 
Kijana, numekumbia usiseme uongo.
Caspian amekua sub contractor kwenye migodi ya Barrick yes, lakini mgodi wa Bulyanhulu hauwawezi tumia machine hizi kwasababu ni Underground Mine.
Na hata inapotokea Sub anapewa contract ya kujenga bwawa hawezi kuleta ama kutumia mashine za aina hii..
Hizi machine sana zinatumika Buzwagi, Geita (GGM) na North Mara (Nyamongo).
Tena usizungumzie uwepo wako wakati wa kujenga mabwawa ya Zebaki, watu tulikuepo hata kabla Main Shaft haijachimbwa na kujengwa. Yaani tulikuepo kipindi Skanska wakitoboa Box Cut. Hapa namaanisha nimekuwepo hata kabla hiyo Zebaki haijaanza kutumika migodini na sikuzile tulipaita Tellings Dam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…