Hivi haya majigari yakikukanyaga tumboni unapona?
Mungu wanguHiyo mashine kuna mgodi fulani ilikanyaga landcruiser hardtop bila dereva wake kuhisi amekanyaga kitu.
Yani huo mdude unauwezo wa kukanyaga fuso na kuifanya chapati.
Fuso ikishakuwa chapati inaliwa na supu, chai au juice? Halafu hilo gari limevunja mwiko wa ulaji chapati, chapati zinaliwa mbili, inatakiwa litafute Fuso lingine la kulikanyaga ili lishibeHiyo mashine kuna mgodi fulani ilikanyaga landcruiser hardtop bila dereva wake kuhisi amekanyaga kitu.
Yani huo mdude unauwezo wa kukanyaga fuso na kuifanya chapati.
Kila gari linarahisisha process.Vyombo vya kurahisisha process ni machine! Kuyaita hayo madude ni magari utakuwa unakosea! CAT kiwanda hiki kina deal na mitambo zaidi so product zao nyingi ni based on Mitambo!
Extrovert, Asante kwa recognition yako kwenye kipande hiki cha ujumbe ulicho ki likeKila gari linarahisisha process.
Kwenye process ya usafirishaji makontena utatumia flat board truck, huwezi kutumia vitz.
Kwenye process ya usafirishaji wa abiria utatumia Basi.
Kwenye process ya kubeba vifusi vikubwa migodini utatumia HAUL TRUCK, ni division of labor mzee
CAT ilianzishwa Marekani. Mojawapo ya makampuni yaliyoleta mageuzi kwenye kilimo ukiyataja mengine kama John Deere. Hilo neno Caterpillar lilitolewa na mpigapicha wao aliyeitwa kupiga picha model flani mpya, dereva alipofanya manoeuvre mpigapicha akaropoka "Ooh its moving like a caterpillar" mabosi wa kampuni wakasikia wakapenda huo msemo. Wana patent rights za hilo neno hata buti za CAT unazoona mtaani wanalipwa commission na watengenezajiMkuu hawa CAT walinunuliwa na USA maana nilidhani originally ni kutoka German
Kwa upande mmoja tunaweza sema ni kwel upande mwengne sio kweli.Kwanini huwa asillimia kubwa ya watu wanaoendesha haya magari huwa wanapata shida ya kuumwa migongo?
nami nilitamani sana niendeshe ila uoga ukawa upande wa kuuguza mgongo!
Hili dude tairi moja unanunua ist safi kabsaView attachment 1919988
Hatimae nami nimelionja
ADT 785
Retarder brake
Service brake
Parking brake
Emergency brake
Aisee hii mifumo ya brake ni balaa!!
Guys,
operator wa Jumbo kuna kazi zimetangazwa North Mara Leo
Manina zenu, nasomea wapi kuli vurumisha Gwajima hili?View attachment 1919988
Hatimae nami nimelionja
ADT 785
Retarder brake
Service brake
Parking brake
Emergency brake
Aisee hii mifumo ya brake ni balaa!!
Guys,
operator wa Jumbo kuna kazi zimetangazwa North Mara Leo
Hiyo mashine kuna mgodi fulani ilikanyaga landcruiser hardtop bila dereva wake kuhisi amekanyaga kitu.
Yani huo mdude unauwezo wa kukanyaga fuso na kuifanya chapati.