Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

MAGARI YA AINA YOYOTE NI MAZURI MIMI NI FUNDI WA MAGARI GARI NI UTUNZWAJI FANYA SERVICE KWA UANGALIFU UBAYA MAFUNDI WENGI UKIMPELEKEA AFANYE SERVICE UKIMWAMINI BASI GARI UTALIONA BOVU MAANA YEYE ANAJALI PESA TU HATOKUFANYIA SERVICE INAVYOTAKIWA KAMA HUTOMSIMAMIA
 

jeeb ni gari imara sana kuliko gari zote labda aseme spear zake ni juu
 
roho ya paka toyota surf ninalo miaka 17 sijawahi kulala njiani ninakwenda mwanza kila leo na ninaiamini maana huwa nasafiri pekee yangu
 
Nimeangalia comment humu watu wote wanao lalamika humu ni wenzangu na mie mara huyu Passo,RvR,prius,pajero etc
Lakini wale.wenzetu wenye vogue,hammer,evoque,Cadillac,Mercedes etc sijawasikia
 
Mpk kirikuu ukiitunza iko vzur, shida fundi mbabaishaji, dereva nae anajua kueka gia na kuongoza sukan tu. Kuckilza vtu vngne kwenye gari vnaendaje hajui, halafu unataka gari idumu milele
 
Izo gari zilikuja mpya wanajeshi walikopeshwa miaka ya nyuma ivi,so haikuja mtumba so kukaa miaka 20 ni kawaida sana kwa gari iliyonunuliwa 0 km
Tena zote zilikuwa TZJ ilinipa shida sana kugundua kwann gari zote hizo ziwe na TZJ?.
 
BOLERO GLX
 
Mh hapa ss nahisi hili Tango por,i ya kweli haya mkuu???Discovery!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…