Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

MAGARI YA AINA YOYOTE NI MAZURI MIMI NI FUNDI WA MAGARI GARI NI UTUNZWAJI FANYA SERVICE KWA UANGALIFU UBAYA MAFUNDI WENGI UKIMPELEKEA AFANYE SERVICE UKIMWAMINI BASI GARI UTALIONA BOVU MAANA YEYE ANAJALI PESA TU HATOKUFANYIA SERVICE INAVYOTAKIWA KAMA HUTOMSIMAMIA
 
Mkuu kwenye jeep grand chorokee hapo nitakuping mpaka sekunde ya mwisho.hembu fafanua hapo unapozungumzia jeep unazungumzia jeep ipi labda.kuna grand chorokee ya diesel na petrol. Na ubovu wake ni upi maana hiyo gari ni roho ya paka hatari engine yake mpaka body inaoza yenyewe bado inadunda

jeeb ni gari imara sana kuliko gari zote labda aseme spear zake ni juu
 
roho ya paka toyota surf ninalo miaka 17 sijawahi kulala njiani ninakwenda mwanza kila leo na ninaiamini maana huwa nasafiri pekee yangu
 
Nimeangalia comment humu watu wote wanao lalamika humu ni wenzangu na mie mara huyu Passo,RvR,prius,pajero etc
Lakini wale.wenzetu wenye vogue,hammer,evoque,Cadillac,Mercedes etc sijawasikia
 
MAGARI YA AINA YOYOTE NI MAZURI MIMI NI FUNDI WA MAGARI GARI NI UTUNZWAJI FANYA SERVICE KWA UANGALIFU UBAYA MAFUNDI WENGI UKIMPELEKEA AFANYE SERVICE UKIMWAMINI BASI GARI UTALIONA BOVU MAANA YEYE ANAJALI PESA TU HATOKUFANYIA SERVICE INAVYOTAKIWA KAMA HUTOMSIMAMIA
Mpk kirikuu ukiitunza iko vzur, shida fundi mbabaishaji, dereva nae anajua kueka gia na kuongoza sukan tu. Kuckilza vtu vngne kwenye gari vnaendaje hajui, halafu unataka gari idumu milele
 
Izo gari zilikuja mpya wanajeshi walikopeshwa miaka ya nyuma ivi,so haikuja mtumba so kukaa miaka 20 ni kawaida sana kwa gari iliyonunuliwa 0 km
Tena zote zilikuwa TZJ ilinipa shida sana kugundua kwann gari zote hizo ziwe na TZJ?.
 
kweli aisee hizi gari CCM waikuwa nazo kibao saivi sijui ziko wapi. naona sasa hivi wanatumia viberiti {land cruiser}..
ila kwa mtazamo wangu kila gari ni mbaya kama hakuna matunzo ila kama unaitunza vizuri unaweza ukasahau gereji ulienda lini. Gari matunzo
BOLERO GLX
 
freelander ni gari nzuri na economy,mhm ongeza ukubwa wa mashimo ya kwenye gasketi hutopata tatizo tena la kuchemsha. Nadhan mtengenezaji alijisahau juu ya khali ya joto kwa huku kwetu hivyo hilo tatizo hutokea. Discovery itabaki n gari niipendayo,niitumiayo na nitakayotumia wakati wote wa uwepo wangu hapa dunia. Ni gari inayofanya kile nikitakacho gari inifanyie na kwa wakati huku ikiwa n economy kwa mafuta.
Mh hapa ss nahisi hili Tango por,i ya kweli haya mkuu???Discovery!!!!!
 
Back
Top Bottom