Kama una kiu ya kuujua ukweli, isome kwa makini Biblia. Anza na kitabu cha Mathayo sura moja moja kila siku mpaka Ufunuo wa Yohana. Soma huku ukimuomba Mungu akufunulie ukweli. Wakati unasoma, ukikutana na mistari yenye amri au maagizo yatekeleze. Ukikutana na maonyo, yazingatie. Nakuambia ndani ya muda mfupi, utaamini Biblia ni kitabu cha kweli na wala hutahitaji tena walioleta dini waje wakuambie ukweli.Waliotuketea dini sikumoja waamke watuambie ukweli Jamani
da!!!,,,dunia inaenda kasi sana,,,sasa ndo nimeelewa kwa nini fisi wanafungwa plate number!!Unaweza kuta yeye ndiye yule mchungaji Zumaridi anayeishi Mwanza.
Anasema yeye Mbinguni huwa anakwenda na kurudi, anaongea na Mungu kwa kiswahili na Kisukuma.
kama hamna ugomvi wala chuki ilikuwaje kukawa na vita mbinguni?...kati ya jeshi la mbinguni likiongozwa na malaika michail na shetani na malika wake????...naomba jibu?View attachment 3251760
Mbinguni hakuna ugomvi wala chuki
Mbinguni tutakula si kwa sababu ya njaa, bali kwa furaha na uzuri wa uzima wa milele. Kama vile Adamu na Hawa walivyokula matunda katika Bustani ya Edeni kabla ya dhambi kuingia, vivyo hivyo mbinguni tutafurahia matunda ya uzima bila njaa wala kiu. Ni sehemu ya baraka na utimilifu wa maisha ya milele tuliyoahidiwa na Mungu.Mbinguni hakuna njaa wala kiu
Mbinguni tutakula matunda.
Unakula ili iweje wakati hakuna njaa
Kuna nyama?Mbinguni tutakula si kwa sababu ya njaa, bali kwa furaha na uzuri wa uzima wa milele. Kama vile Adamu na Hawa walivyokula matunda katika Bustani ya Edeni kabla ya dhambi kuingia, vivyo hivyo mbinguni tutafurahia matunda ya uzima bila njaa wala kiu. Ni sehemu ya baraka na utimilifu wa maisha ya milele tuliyoahidiwa na Mungu.
Mbinguni ni mahali pazuri sana, penye utimilifu wa furaha. Mungu atatupatia mahitaji yetu kwa njia bora zaidi kuliko tunavyofikiria. Mambo mazuri unayoyaona duniani yameumbwa na Mungu. Sasa aliyeyaumba hayo unayoona mazuri, atashindwa kutupatia chakula kizuri zaidi kuliko nyama?Kuna nyama?
Kuna nyama, hakuna au hujui?Mbinguni ni mahali pazuri sana, penye utimilifu wa furaha. Mungu atatupatia mahitaji yetu kwa njia bora zaidi kuliko tunavyofikiria. Mambo mazuri unayoyaona duniani yameumbwa na Mungu. Sasa aliyeyaumba hayo unayoona mazuri, atashindwa kutupatia chakula kizuri zaidi kuliko nyama?
Biblia inasema tutakula matunda ya uzima (Ufunuo 22:2), haielezi kuhusu kula nyama mbinguni. Hata hivyo wewe elewa tu kwamba Mungu atatupatia kila kitu kinachotuhakikisha furaha na utoshelevu wa milele.
Hiyo ilitokea mara moja tu na haitatokea tena. Shetani alifukuzwa mbinguni na hawezi kurudi tena huko anasubiri tu kutupwa katika moto wa milele.kama hamna ugomvi wala chuki ilikuwaje kukawa na vita mbinguni?...kati ya jeshi la mbinguni likiongozwa na malaika michail na shetani na malika wake????...naomba jibu?
usitoke nje ya mada hapa tunazungumzia vita,na kwa taarifa yako mpaka leo shetani na mawakala wake bado wako kwenye vita vikali kati ya MUNGU na mawakala wake plus malaika,,,,yaani vita iliyopiganwa mbinguni kwa sasa imehamia duniani,mawakala wa MUNGU ni mapadre,mashehe, na wachungaji,mawakala wa shetani ni malaika wachafu,waganga[wapiga ramli],wachawi,vinyamkera n.k,nadhani umeona wiki ilopita fisi kauwawa lakini mzoga wake umekutwa umefungwa plate namba kama gari,,,na kuna mganga wa kienyeji wamemkuta na fisi[polisi]huko simiyu,,alipoulizwa akasema anamtumia kama pikipiki,na pia usiku anamtumia kama helikopta[[unaona vita hiyo],,,so ndo manake unaona tunafundishwa kusali kwa hisia kali sana kwani vita ni vikalimno,,,so USIJE UKASEMA ILIKUWA YA MARA MOJA TU!!!!...vita ya MUNGU na SHETANI haitoisha mpaka siku ya kiama,,,na baada ufufuo,shetani atatupwa kenye ziwa lamoto!!!!!!.............MAPAMBANO BADO YANAENDELEA!!Hiyo ilitokea mara moja tu na haitatokea tena. Shetani alifukuzwa mbinguni na hawezi kurudi tena huko anasubiri tu kutupwa katika moto wa milele.
Shida ukiisoma sana biblia huwez kuiamini Raha uisome juu juu hivohivo kwakweli km mnavoisomaKama una kiu ya kuujua ukweli, isome kwa makini Biblia. Anza na kitabu cha Mathayo sura moja moja kila siku mpaka Ufunuo wa Yohana. Soma huku ukimuomba Mungu akufunulie ukweli. Wakati unasoma, ukikutana na mistari yenye amri au maagizo yatekeleze. Ukikutana na maonyo, yazingatie. Nakuambia ndani ya muda mfupi, utaamini Biblia ni kitabu cha kweli na wala hutahitaji tena walioleta dini waje wakuambie ukweli.
We ondoa utaahira wako humu.Watu wengi wanahangaika usiku na mchana kutafuta raha na starehe za dunia hii, ambazo ni za muda mfupi, lakini hawajishughulishi kuhakikisha wanayo “tiketi” ya kuingia mbinguni kwenye raha na furaha ya milele. Labda ni kwa sababu hawajui maisha ya mbinguni yatakuwa ya namna gani. Nakutajia hapa mambo mazuri ya mbinguni. Mbinguni...
Yesu kabla ya kupaa mbinguni aliahidi kwamba anaenda kutuandalia makao yenye raha hizo(Yohana 14:2-3). Dalili zinaonesha karibu atarudi kuwachukua wote waliokata “tiketi” ya kuingia kwenye makao hayo mapya ya mbinguni(Mathayo 24:3-33). Kama umeokoka, tiketi hiyo tayari unayo. Kama hujaokoka fanya haya yafuatayo, nawe utakuwa miongoni mwa watakaoingia mbinguni Yesu atakaporudi, au ukiondoka duniani kabla ya ujio wa Yesu:
- Maisha ni matamu mno. Utamu huo unafanya miaka 1000 ionekane kama siku moja tu.(2 Petro 3:8)
- Hakuna kilio wala maombolezo – Ufunuo 21:4
- Hakuna kuzeeka. Tutakuwa na miili mipya ya utukufu – Wafilipi 3:21
- Hakuna njaa wala kiu – Ufunuo 7:16
- Hakuna magonjwa wala ulemavu – Isaya 35:5-6
- Hakuna dhambi wala majaribu –Ufunuo 21:27
- Kuna furaha isiyo na mwisho – Zaburi 16:11
- Tutaishi milele. Hakutakuwa na kifo kabisa – 1 Yohana 2:25; Ufunuo 20:6; Ufunuo 21:4
- Tutaishi na Mungu na kumuona uso kwa uso – Ufunuo 22:4; Ufunuo 21:3
- Tutakuwa kama malaika, hakuna kuoa wala kuolewa – Mathayo 22:30
Kwa sababu hiyo hakuna matatizo ya ndoa!- Hakutakuwa na giza wala usiku – Ufunuo 22:5
- Hatutakula kwa jasho. Tutakula matunda, bure – Ufunuo 2:7
- Hakuna vita wala maadui – Isaya 11:9
- Tutaimba nyimbo tamu kwa lugha moja – Ezra 3:11
- Tutapokea taji za thawabu – 2 Timotheo 4:8
- Tutashiriki karamu(sherehe kubwa) ya arusi ya Mwana-Kondoo(Ufunuo 22:4). Karamu hiyo inapita mara elfu elfu karamu zote zinazofanyika hapa duniani.
Kama uko tayari kuyafanya hayo, fuatisha sala hii ya toba, utaokoka sasa hivi. Omba hivi:
- Kubali kuwa wewe ni mwenye dhambi – Warumi 3:23 – “Kwa maana wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.”
- Amini kwamba Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zako na akafufuka –Warumi 10:9 – “Kwa sababu ukikiri kwa kinywa chako ya kuwa Yesu ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.”
- Tubu dhambi zako kwa moyo wa dhati na usitende dhambi tena – Matendo 3:19 – “Tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe.”
- Mpokee Yesu moyoni mwako kwa imani awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako – Yohana 1:12 – “Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndiyo wale waliaminio jina lake.”
“Ee Mungu wa mbinguni, nakiri kuwa mimi ni mwenye dhambi, lakini leo natubu kwa moyo wangu wote. Naamini kuwa Yesu Kristo alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu, akafufuka ili nipate uzima wa milele. Bwana Yesu, naomba unisafishe kwa damu yako. Ninakukaribisha moyoni mwangu uwe Bwana na Mwokozi wa maisha yangu. Nisaidie kuishi maisha mapya ya utakatifu. Kuanzia leo namkataa shetani na kazi zake zote. Asante Yesu kwa kuniokoa na kunipa “tiketi” ya kuingia mbinguni. Katika Jina la Yesu Kristo, ninaomba na kushukuru. Amina.”
Kama umeomba sala hiyo kwa moyo wako wote, tayari umeokoka na umepata “tiketi” ya kuingia mbinguni.
Ili uendelee vizuri na maisha ya wokovu, hakikisha unasoma Biblia na kuomba kila siku. Lakini pia ungana na waumini wengine katika Kanisa lolote linalohubiri wokovu na kufundisha maisha ya utakatifu, watakuelekeza mambo mengine yakupasayo kufanya. Ubarikiwe sana.
Ondoa kwanza utahira wako,nani amewahi kufika huko akaja na majibu ya huko??We ondoa utaahira wako humu.
Wasichofahamu watu wengi ni kuwa ‘juu’ hubadilika kuendana na mzunguko wa dunia kwenye muhimili wake na jua. Tunakokuona juu muda huu, hubadilika na kuwa chini baada ya muda fulani. Ni sawa na sisimizi anapotembea juu ya mpira au tufe, kokote anapoelekeza kichwa kwake ni juu. Hivyo kimsingi hakuna ‘juu’, mbinguni au motoniUafrika ni mzigo na ni dhambi,hivi kweli kabisa watu wanaamini kuna kwenda juu mbinguni wakati wanaona kabisaa watu wanazokwa ardhini napia huko wanakosema juu mbinguni ni hewa tu na nyota,mwezi,jua,nk
usitoke nje ya mada hapa tunazungumzia vita,na kwa taarifa yako mpaka leo shetani na mawakala wake bado wako kwenye vita vikali kati ya MUNGU na mawakala wake plus malaika,,,,yaani vita iliyopiganwa mbinguni kwa sasa imehamia duniani,mawakala wa MUNGU ni mapadre,mashehe, na wachungaji,mawakala wa shetani ni malaika wachafu,waganga[wapiga ramli],wachawi,vinyamkera n.k,nadhani umeona wiki ilopita fisi kauwawa lakini mzoga wake umekutwa umefungwa plate namba kama gari,,,na kuna mganga wa kienyeji wamemkuta na fisi[polisi]huko simiyu,,alipoulizwa akasema anamtumia kama pikipiki,na pia usiku anamtumia kama helikopta[[unaona vita hiyo],,,so ndo manake unaona tunafundishwa kusali kwa hisia kali sana kwani vita ni vikalimno,,,so USIJE UKASEMA ILIKUWA YA MARA MOJA TU!!!!...vita ya MUNGU na SHETANI haitoisha mpaka siku ya kiama,,,na baada ufufuo,shetani atatupwa kenye ziwa lamoto!!!!!!.............MAPAMBANO BADO YANAENDELEA!!