Yajue Maisha yalivyo jela

Kumbe sawa
 
1)Kuna watu jela wana tembea wakiwa uchi kwani aliingia na suluali moja na amekaa hapo miaka

Hivyo Kama huwa una tupa nguo tembelea jera wape hizo nguo zitawa sitiri📌
Kwa ufahamu wangu jela zote huwa na sare za wafungwa bila shaka mleta stori alikuwa anakusudia mahabusu maana na kwenyewe kuna raia wanasota miaka na miaka
 
Magereza yote yapo hivyo na ili kuya jua hayo nilazima uwe mfungwa pia au mahabusu wa mda mlefu kidogo

Ukiwa askali/mhusika kwenye udhibiti wa Mambo hayo sio rahisi kujua

Basi penye zeni watu wengi kwenye magereza mtaya shuhudia haya hicho ndicho ninacho weza kuku saidia

Lakini pia msingi mkubwa wa Mambo haya Ni Hari za magereza jinsi zilivyo kuanzia utawala,vyakula vibovu na kuwa chukulia wafungwa Kama wanyama na sio watu tena
 
Nikitaka kuwatembelea wafungwa na kuwapelekea Zawadi je sitosumbuliwa na hao viongozi wao? Yaani mtu yoyote anaruhusiwa kutembelea wafungwa? Au kuna masharti.
 
sisi wote ni wafungwa watarajiwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…