Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tatizo ni la mfumo, kesi zote zilitakiwa ziwe na dhamana.Kwanini mashirika yanayotoa misaada ya kisheria yasiende kuwasaisldia hao waliosingiziwa? Waliokaa mahabusu miaka mitano anaona Bora ningefanya hayo ninayotuhumiwa niwe hapa kihalali. Kuna mashirika, mpk mawakili wa serikali, na legal aids mbalimbali ikiwemo na ya Mhe Rais hebu wawe wakiwakumbuka na hao kama Kijana aliyeokota risasi
Kwa mfumo wa sasa wanaochunguza wakisema uchunguzi haujakamilika na hawataki kukupa dhamana hakuna msaada wowote unaweza kukusaidia.